Yanga itaishia hatua ya makundi club bingwa 2023/2024

Hapo vip!!
Nimeona hili niliweke wazi na niwaandae wachezaji na washabiki wa yanga kisaikologia.

Sababu za kuona yanga ikiishia hatua ya makundi club bingwa ni hizi.
  1. Yanga ni timu ndogo sana katika barani Afrika..haipo hata kwenye timu bora 20 bora Afrika.
  2. Yanga inacheza na timu kubwa na bora barani Afrika,Ally ahly ni timu ya kwanza kwa ubora barani Afrika na Belazdad ni timu namba 4 kwa ubora barani Afrika.
  3. Hizi timu kubwa zina wachezaji professional na wenye viwango vikubwa na thamani kubwa ukilinganisha na wachezaji wa Yanga.
  4. Yanga hawana uzoefu wa kucheza michuona ya kimataifa kwasababu ya udogo wao..kuchukua kombe la ligii kuu sio kipimo sahihi cha ubora wa timu kwasababu waamuzi wa ndani hubeba timu mbovu ikachukua kombe kwasababu ya rushwa baasha,uwezo mdogo wa kuchezesha,ushabiki dhidi ya hiyo timu mbovu n.k
  5. Ubora wa yanga ni kwenye kombe la shirikisho na sio club bingwa..(looser ligi)na si vingenevyo.
  6. Yanga hawana uwezo wa kusajili wachezaji professional wa kuanzia bilioni na kuendelea kama wapinzani wao..wanalokota lokota walevi kama wakina Okra
  7. Yanga imeachiwa laana na baba yake SIMBA sc(mfalme wake Simba sc) kwasababu hana heshima na ajitambui na udogo na ubovu wake..ukitaka kufanikiwa appreciate maendeleo ya aliyekuzidi nipo utabarikiwa na kuendelea.
Mayele aliondoka akamwacha yule ng'ombe wake huku.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Ushabiki kupitiliza unamfanya mtu awe kipofu. Umeongea kishabiki. Halafu pia ni kipofu. Hujui lolote kuhusu soka. Unabwabwaja kama mropokaji wenu. Lakini sishangai hiyo ni hulka za mashabiki wengi wa mikia. Mna mihemko.
 
Sio tu alikua kipofu
Bali kaongea kwa chuki kali sana
 
Washabiki wa yanga wengi ni mashogo,wannawake na wanaume wenye elements za kike.

Sikia kwanza hakuna timu inayoitwa yanga iliyoanzishwa kabla ya simba sc miaka 1938,miaka ya 1937 kulikuwa hakuna timu inayoaitwa yanga wala SIMBA SC ni timu za watumwa ndio zilikuwepo,pia hakuna nchi inayoitwa Tanzania au Tanganyika,..Je kulikuwa na rais gani miaka hiyo?na ligi gani katika nchi gani?
Pili,timu yeyote mbovu na ndogo kama mtibwa au kagera n.k inaweza kuongoza kuchukua makombe ya ligi kuu kwasababu ligi kuu inachezeshwa na marefa wa bahasha,uwezo mdogo na wanaochezesha mpira kishabiki..mfano mpra wa Apr na mlanda ndege,hivyo waamuzi wanauwezo wa kuwezesha timu mbovu ikachukua makombe ya ndani.

Yanga ni timu ndogo borq mla ndege image imechukua zaidi a miaka 28 kufika hatua ya makundi club bingwa,ligi ambayo baba yake Simba sc anacheza kila siku,ubora na ukubwa wa timu inapimwa na timu inayofanya vizuri kimataifa kwasababu inachezeshwa na marefaa au waamuzi wenye uwezo mkubwa na pia timu inacheza na timu bora na kubwa barani Afrika,na timu hiyo kubwa Afrika mashariki na kati ni Simba sc.
KWA HIYO OUTOMATIC yanga NDIO MKE WA SIMBA SC TANZANIA
We kweli rofa.
 
Back
Top Bottom