Yanga itaishia hatua ya makundi club bingwa 2023/2024

Hata Nabi alisemwa hana uwezo wa michezo ya kimataifa kilichofuata... Hata hili ni suala la muda tu.
 
Asante ila taarifa Mwenyekiti:
1. Simba ni mke wa Yanga, sababu Simba ilitoka kwenye ubavu wa Yanga.
2. Yanga ndiyo timu iliyoifunga Simba mara nyingi kuliko timu zote Duniani.
3. Yanga ndiyo timu inayoongoza kwa kuchukua ubingwa wa Tanzania mara nyingi kuliko timu yoyote ikiwemo Simba.
4. Yanga ndiyo timu pekeee TANZANIA yenye medali kwa makombe yanayoandaliwa na CAF.
5. Yanga imeweka bango baada ya kuifunga Simba goli 5 Kwa Moja.

HEBU TUAMBIE KUHUSU TIMU YAKO
 
Nyie waliwa na Ndege mna shida sana
 
Mbona Yanga walishaweka wazi mapema kabisa kuwa msimu huu lengo lao ni kufika hatua ya makundi klabu bingwa
 
Ni kweli mm YANGA damu ila hatuna timu ya kufika robo final caf Simba ndyo giant wa East Africa
 
Ni ajabu kuona umetumia muda mrefu kufikiria na kuandika haya.

Rage ajengewe sanamu lake.
 
Haya yote yamesababishwa na Akandwanao
 
Washabiki wa yanga wengi ni mashogo,wannawake na wanaume wenye elements za kike.

Sikia kwanza hakuna timu inayoitwa yanga iliyoanzishwa kabla ya simba sc miaka 1938,miaka ya 1937 kulikuwa hakuna timu inayoaitwa yanga wala SIMBA SC ni timu za watumwa ndio zilikuwepo,pia hakuna nchi inayoitwa Tanzania au Tanganyika,..Je kulikuwa na rais gani miaka hiyo?na ligi gani katika nchi gani?
Pili,timu yeyote mbovu na ndogo kama mtibwa au kagera n.k inaweza kuongoza kuchukua makombe ya ligi kuu kwasababu ligi kuu inachezeshwa na marefa wa bahasha,uwezo mdogo na wanaochezesha mpira kishabiki..mfano mpra wa Apr na mlanda ndege,hivyo waamuzi wanauwezo wa kuwezesha timu mbovu ikachukua makombe ya ndani.

Yanga ni timu ndogo borq mla ndege image imechukua zaidi a miaka 28 kufika hatua ya makundi club bingwa,ligi ambayo baba yake Simba sc anacheza kila siku,ubora na ukubwa wa timu inapimwa na timu inayofanya vizuri kimataifa kwasababu inachezeshwa na marefaa au waamuzi wenye uwezo mkubwa na pia timu inacheza na timu bora na kubwa barani Afrika,na timu hiyo kubwa Afrika mashariki na kati ni Simba sc.
KWA HIYO OUTOMATIC yanga NDIO MKE WA SIMBA SC TANZANIA
 
Kajifunze kwanza kusoma na kuandika tatizo hautaki kusikiliza ushauri
 
Fupisha habari yako ndefu mnoooo.
 
Usishangae mleta post kavuta bhange lake huko, ndio kapata wazo la kuandika upupu wake.
Kiufupi huo ni utabir, na utabiri hauna uhakika.
 
Upoooo ni kweli Yanga kaishia makundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…