kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Tangazo la BOOST limewekwa vibaya kwenye karatasi nyeupe na kubwa mno kiasi kwamba limechafua jezi. Jezi za 45,000 kila moja lakini watu wanaogopa kuzivaa kwasababu ya mtangazo mkuuubwa sana ulibandikwa vibaya mgongoni.
Tangazo lile la mdhamini lirekebishwe ili kuboresha muonekano wa biashara lakini na jezi. .
Tangazo lile la mdhamini lirekebishwe ili kuboresha muonekano wa biashara lakini na jezi. .