kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #21
mo kaweka tangazo lake la mo Dewj foundation matakoni kabisa kwa wavaaji, ni heri hata lile la G BOOSTWaulize wenzio, ni masharti ya mganga hayo lazima kuwe na kaweupe katika jezi zenu ili nyota ya Simba mliyoiiba iweze fanya kazi.
Ni suala la muda kabla vyura hamjaweka matangazo maeneo hayo hayo na wakati huo ukifika mtakausha kama vile hamkuwahi kutumia nguvu nyingi kuyakejeli. Huwa hamjifunzi tu kuwa mitazamo na kauli zenu nyingi kuhusu Simba zimejaa unafki na roho ya kwa nini....