Hahahaha...Wabongo ni tuna nongwa 🤣🤣😂, mara sanda, lakini anavaa FILA
Lete....Tangazo la BOOST limewekwa vibaya kwenye karatasi nyeupe na kubwa mno kiasi kwamba limechafua jezi. Jezi za 45,000 kila moja lakini watu wanaogopa kuzivaa kwasababu ya mtangazo mkuuubwa sana ulibandikwa vibaya mgongoni.
Tangazo lile la mdhamini lirekebishwe ili kuboresha muonekano wa biashara lakini na jezi. .
Tangazo tunatamba nalo 💚💛View attachment 3070588
Tangazo tunatamba nalo
Tangazo liko kama kiraka kwenye jezi.Tangazo tunatamba nalo 💚💛View attachment 3070588
Waulize wenzio, ni masharti ya mganga hayo lazima kuwe na kaweupe katika jezi zenu ili nyota ya Simba mliyoiiba iweze fanya kazi.Tangazo la BOOST limewekwa vibaya kwenye karatasi nyeupe na kubwa mno kiasi kwamba limechafua jezi. Jezi za 45,000 kila moja lakini watu wanaogopa kuzivaa kwasababu ya mtangazo mkuuubwa sana ulibandikwa vibaya mgongoni.
Tangazo lile la mdhamini lirekebishwe ili kuboresha muonekano wa biashara lakini na jezi. .
Ni suala la muda kabla vyura hamjaweka matangazo maeneo hayo hayo na wakati huo ukifika mtakausha kama vile hamkuwahi kutumia nguvu nyingi kuyakejeli. Huwa hamjifunzi tu kuwa mitazamo na kauli zenu nyingi kuhusu Simba zimejaa unafki na roho ya kwa nini....Nalile lilokaa makalioni kwa wale wenye vimo vifupi na lilokaa kiunoni kama shanga kwa wale wenye vimo virefu tuliiteje au lile halija chafua jezi.
Kwa nyie mshazoea Mo kukaa makalioni na kiunoni. Sasa tukuonee gere kwa lipi ulikuwa nalo.Sasa ww lini uliwahi kuipenda Yanga au kuombea mazuri.Waulize wenzio, ni masharti ya mganga hayo lazima kuwe na kaweupe katika jezi zenu ili nyota ya Simba mliyoiiba iweze fanya kazi.
Ni suala la muda kabla vyura hamjaweka matangazo maeneo hayo hayo na wakati huo ukifika mtakausha kama vile hamkuwahi kutumia nguvu nyingi kuyakejeli. Huwa hamjifunzi tu kuwa mitazamo na kauli zenu nyingi kuhusu Simba zimejaa unafki na roho ya kwa nini....
Halafu Mo sijui alikufanya nini, kutwa hauachi kumuongelea. Sasa ile logo ya Mo pale ni makalioni, mbona kichwa chako umekijaza uchafu ndugu yangu?Kwa nyie mshazoea Mo kukaa makalioni na kiunoni. Sasa tukuonee gere kwa lipi ulikuwa nalo.Sasa ww lini uliwahi kuipenda Yanga au kuombea mazuri.
Mashabiki/wafuasi/wanachama wengi wa Simba mnaamini sana mambo ya nyota, ulozi, uchawi & ushirikinaWaulize wenzio, ni masharti ya mganga hayo lazima kuwe na kaweupe katika jezi zenu ili nyota ya Simba mliyoiiba iweze fanya kazi.
Halafu utashangaa wanaoruka ukuta na kutumia milango isiyo rasmi wanajinasibu kama watakatifu na wanaendeshwa kiprofeshenoMashabiki/wafuasi/wanachama wengi wa Simba mnaamini sana mambo ya nyota, ulozi, uchawi & ushirikina
Endeleeni kuhubirr uchawiHalafu utashangaa wanaoruka ukuta na kutumia milango isiyo rasmi wanajinasibu kama watakatifu na wanaendeshwa kiprofesheno
Sihubiri uchawi maana naamini mpaji ni Mungu ila uchawi upo maana hata maandiko yanasema hivyoEndeleeni kuhubirr uchawi
Sasa changamoto inakua ukisharuhusu akili yako kuamini hayo mambo wakati mwngn utajikuta unareason vitu vingi ktk mrengo huoSihubiri uchawi maana naamini mpaji ni Mungu ila uchawi upo maana hata maandiko yanasema hivyo
Sasa Mo si ndiye mmiliki huwezi kumtenganisga Mo na 5imba ni sawa utenganishe bil 20 na 5imba haiwezekani.Kwani Mo hayupo makalioni au kiunoni mwajezi yenu?Halafu Mo sijui alikufanya nini, kutwa hauachi kumuongelea. Sasa ile logo ya Mo pale ni makalioni, mbona kichwa chako umekijaza uchafu ndugu yangu?