Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Ni suala la muda tu pumba na mchele vitajitenga, nimeona timu zote Azam, simba na Yanga na nimejiridhisha ya kuwa bila kupepesa macho wala kutikisa masikio Wananchi waendelee kutamba mjini bado wanayo timu bora ambayo inakwenda kutwaa tena ndoo kwa mara nyingine!
Kutoa mapovu ni ruksa but haitobadili chochote! Kuna vitu vingi Sana vya kiufundi nilivyoona kwenye mechi ya leo jambo ambalo limenipa picha ya nini kinakwenda kutokea mwisho wa msimu baada ya kulinganisha vikosi vya timu zote tatu vinavyopigania ubingwa kila mwaka!
Wahenga walisema usimwamshe aliyelala unaweza ukalala wewe, najua Master Gamond alikuwa na daftari lake anapiga tiki kila eneo uku akishushia mvinyo taratiiibu kwa madaha!
N;B naomba uzi huu uwekwe mahala salama for reference mwisho wa msimu💪💪💪💪