Yanga jiandaeni na parade jingine msimu wa 2023/2024 hakuna timu ya kuwazuia

Yanga jiandaeni na parade jingine msimu wa 2023/2024 hakuna timu ya kuwazuia

Muunganiko wa kupata goli moja tuu kila mechi? Mkizidi sana 2? Simba ambayo haina muunganiko ilimtoa mwenye assist nyingi kuliko wote,ilimtoa na top scorer au ule ulikua sio muunganiko ni mpasuko? Na kwa sasa nyie jilisheni matango pori kuwa timu haina muunganiko mchezee za uso
Bingwa alikua nani?
 
Unaweza kuwa bingwa miongoni mwa vilaza, kumbuka ata kwenye wajinga lazima apatikane mwenye unafuu kuliko wengine!
Kama nyie huku ni vilaza eti ee? Au mnakubali kumshinda mnyama ni bonge la credit?.
 
Back
Top Bottom