Tetesi: Yanga kabla ya mechi ya leo juzi walichapana makonde Mwamnyeto na Aziz Ki wakati wa kikao cha kocha mpya!

Ulikuwepo wakati wanachapana ayo makonde? Na nyie mbona kocha wenu kachapana na ateba ujui ilo?
 
Kama umecheza mpora kwnye timu , hili suala siyo ajabu mzee.

unless umekulia mashambani
 
Ulikuwepo wakati wanachapana ayo makonde? Na nyie mbona kocha wenu kachapana na ateba ujui ilo?
Ndani ya yanga ni hofu hofu vurugu na minyukano mbele kocha captain kampiga mambata ya kisawasawa aziz ki baada ya kumueleza kocha baleke ,chama,mwanyeto kuwa si wachezaji wenye kustahili kucheza game yeyote!
 
kwa mpira uliochezwa jana, ilionyesha kabisa yanga hawana morali na hawapo pamoja. sio wale yanga tunaowajua.
 
Ndani ya yanga ni hofu hofu vurugu na minyukano mbele kocha captain kampiga mambata ya kisawasawa aziz ki baada ya kumueleza kocha baleke ,chama,mwanyeto kuwa si wachezaji wenye kustahili kucheza game yeyote!
Kaeni kimya nyinyi propaganda za kitoto hizo tulishavuka izo level hii sio timu ya Mhindi wenu uyo isiyojielewa,,ongeeeni yote mmalize kwa kipindi hiki maana furaha yenu Iko njiani kumalizika!
 
Hupendi kusikia ukweli mchungu unapenda kusikia vitu rahisi rahisi vya kufurahisha ulisema mechi mbili tu timu itakuwa sawa ya tatu hiyo na ya nne ipo njiani jikaze tu ni wakati wako huu!
 
Ukweli mchungu wa propaganda uchwara hizo,,unajua mwenyewe ulikoziokota na watu wako waliokutuma,,alafu uwe unawadanganya wasiojielewa!
 
Labani og zipompa redio joseph1989 demigod
 
Ukweli mchungu wa propaganda uchwara hizo,,unajua mwenyewe ulikoziokota na watu wako waliokutuma,,alafu uwe unawadanganya wasiojielewa!
Upo mbaliiii sana na habari kwenye ulimwengu huu hizi habari za ndani wewe huwezi kuwa nazo kwa kuwa ni mshabiki maandazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…