njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Domo alihitajika vilabu vikubwa tu yule ndonga kubwa akamshawishi wee nae bichwa likajaa na msimu ujao kapona pona sana namuona akiwa Pamba jiji kwa mkuu wa mkoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh hatari sana!Domo alihitajika vilabu vikubwa tu yule ndonga kubwa akamshawishi wee nae bichwa likajaa na msimu ujao kapona pona sana namuona akiwa Pamba jiji kwa mkuu wa mkoa
Ulikuwepo wakati wanachapana ayo makonde? Na nyie mbona kocha wenu kachapana na ateba ujui ilo?Ule utovu wa nidhamu umeendelea kutamalaq kupelekea wachezaji waaandamizi aziz ki na mwanyeto kuchapana makonde mbele ya kocha mpya, inasemekana mwanyeto anamtuhumu Aziz Ki kupeleka majungu kwa viongozi na kocha mpya kuhusu baadhi ya wachezaji kuwa hawafai kupata namba.
Hizo habari tulishindwa kuzitoa tangu asubuhi tulijua zinaweza kuwachangaya wana yanga!
Kama umecheza mpora kwnye timu , hili suala siyo ajabu mzee.Ule utovu wa nidhamu umeendelea kutamalaq kupelekea wachezaji waaandamizi aziz ki na mwanyeto kuchapana makonde mbele ya kocha mpya, inasemekana mwanyeto anamtuhumu Aziz Ki kupeleka majungu kwa viongozi na kocha mpya kuhusu baadhi ya wachezaji kuwa hawafai kupata namba.
Hizo habari tulishindwa kuzitoa tangu asubuhi tulijua zinaweza kuwachangaya wana yanga!
Ndani ya yanga ni hofu hofu vurugu na minyukano mbele kocha captain kampiga mambata ya kisawasawa aziz ki baada ya kumueleza kocha baleke ,chama,mwanyeto kuwa si wachezaji wenye kustahili kucheza game yeyote!Ulikuwepo wakati wanachapana ayo makonde? Na nyie mbona kocha wenu kachapana na ateba ujui ilo?
kwa mpira uliochezwa jana, ilionyesha kabisa yanga hawana morali na hawapo pamoja. sio wale yanga tunaowajua.Ule utovu wa nidhamu umeendelea kutamalaq kupelekea wachezaji waaandamizi aziz ki na mwanyeto kuchapana makonde mbele ya kocha mpya, inasemekana mwanyeto anamtuhumu Aziz Ki kupeleka majungu kwa viongozi na kocha mpya kuhusu baadhi ya wachezaji kuwa hawafai kupata namba.
Hizo habari tulishindwa kuzitoa tangu asubuhi tulijua zinaweza kuwachangaya wana yanga!
Sio kweli aziz ki ni nani?Kama umecheza mpora kwnye timu , hili suala siyo ajabu mzee.
unless umekulia mashambani
Kaeni kimya nyinyi propaganda za kitoto hizo tulishavuka izo level hii sio timu ya Mhindi wenu uyo isiyojielewa,,ongeeeni yote mmalize kwa kipindi hiki maana furaha yenu Iko njiani kumalizika!Ndani ya yanga ni hofu hofu vurugu na minyukano mbele kocha captain kampiga mambata ya kisawasawa aziz ki baada ya kumueleza kocha baleke ,chama,mwanyeto kuwa si wachezaji wenye kustahili kucheza game yeyote!
Hupendi kusikia ukweli mchungu unapenda kusikia vitu rahisi rahisi vya kufurahisha ulisema mechi mbili tu timu itakuwa sawa ya tatu hiyo na ya nne ipo njiani jikaze tu ni wakati wako huu!Kaeni kimya nyinyi propaganda za kitoto hizo tulishavuka izo level hii sio timu ya Mhindi wenu uyo isiyojielewa,,ongeeeni yote mmalize kwa kipindi hiki maana furaha yenu Iko njiani kumalizika!
Ule utovu wa nidhamu umeendelea kutamalaq kupelekea wachezaji waaandamizi aziz ki na mwanyeto kuchapana makonde mbele ya kocha mpya, inasemekana mwanyeto anamtuhumu Aziz Ki kupeleka majungu kwa viongozi na kocha mpya kuhusu baadhi ya wachezaji kuwa hawafai kupata namba.
Hizo habari tulishindwa kuzitoa tangu asubuhi tulijua zinaweza kuwachangaya wana yanga!
Hapo ilikuwaje tena alikata moto, Mbona kama spider man anataka kuruka?
Ukweli mchungu wa propaganda uchwara hizo,,unajua mwenyewe ulikoziokota na watu wako waliokutuma,,alafu uwe unawadanganya wasiojielewa!Hupendi kusikia ukweli mchungu unapenda kusikia vitu rahisi rahisi vya kufurahisha ulisema mechi mbili tu timu itakuwa sawa ya tatu hiyo na ya nne ipo njiani jikaze tu ni wakati wako huu!
Kwisha habari yake magoti yote hayafanyi kazi chezea mashagingi ya kibongo!!
Labani og zipompa redio joseph1989 demigodUle utovu wa nidhamu umeendelea kutamalaq kupelekea wachezaji waaandamizi Aziz Ki na Mwamnyeto kuchapana makonde mbele ya kocha mpya, inasemekana Mwamnyeto anamtuhumu Aziz Ki kupeleka majungu kwa viongozi na kocha mpya kuhusu baadhi ya wachezaji kuwa hawafai kupata namba.
Hizo habari tulishindwa kuzitoa tangu asubuhi tulijua zinaweza kuwachangaya wana yanga!
Upo mbaliiii sana na habari kwenye ulimwengu huu hizi habari za ndani wewe huwezi kuwa nazo kwa kuwa ni mshabiki maandazi!Ukweli mchungu wa propaganda uchwara hizo,,unajua mwenyewe ulikoziokota na watu wako waliokutuma,,alafu uwe unawadanganya wasiojielewa!
Eti shabiki pole yako ndio maana nakwambia hizo propaganda uchwara kawaeleze waliokutuma kwamba wametokota,,utawaokota wasiojielewaUpo mbaliiii sana na habari kwenye ulimwengu huu hizi habari za ndani wewe huwezi kuwa nazo kwa kuwa ni mshabiki maandazi!