Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Mpira uliandikwa jina lao Nikajua tayari[emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya kuwapigia soka Safi real bamako, kesho ni usiku wa kisasi mje kushuhudia pira Safi.
Simba hongereni Sana watani Ila muache kuroga[emoji16]
Yes. Kama vile Horoya sio Raja.Halafu waarabu sio real bamako hilo kaa ukijua
Anapatikana kazi mzumbwiAnaefahamu wapi naweza pata mganga wa Simba anijuze..🤣🤣🤣🤣
Hawa jamaa kwa urozi wametuzidi aisee.Simba hongereni Sana watani Ila muache kuroga😁
Usijidai kama haukuanzisha uzi huu hapa chini:Baada ya kuwapigia soka Safi real bamako, kesho ni usiku wa kisasi mje kushuhudia pira Safi.
Au saa tatu bado haijafika?.... Simba leo anafungwa na wakijitahidi Sana ni sare, matumaini ya kwenda robo fainal yanaishia hapa. Tukutane saa 3 baada ya mechi
Rogeni na nyie kama ni rahisi hivyo. hii ni Klabu Bingwa, sio shirikisho 😁Wamewageuza watoto wa watu kuwa zombies yaan uwanjan wakawa kama mataahira hv.
Sijalala nashingilia ushindi unue wakifungwa hayatuhusu wakishinda Kila la heriSisi Simba hizo sio shida zetu. Poleeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]