SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Nenda kachambe utakaa na kinyesi kwenye chupi hadi lini?Baada ya kuwapigia soka Safi real bamako, kesho ni usiku wa kisasi mje kushuhudia pira Safi.
Simba hongereni Sana watani Ila muache kuroga[emoji16]
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app