Yanga kikatiba haina watu wanaitwa mabaunsa/makomando

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Yanga haina hawa watu na katiba ya Yanga haiwatambui
Kwamba hapa Tanzania Kuna kikundi kinachoitwa makomando wa Yanga ambacho Kwa makusidi linaweza kuzuia msafara wenye polisi kuingia uwanjani, hii siyo kweli
Hao watu wana nguvu Gani?
Kwamba waseme Afande Murillo na jeshi lako Leo hamuingii humu
Walikuwana silaha Gani?
Walikuwa wangapi?
Wanalipwa na nani? Ikiwa katiba ya Yanga haiwatambui

Simba waseme wazi wamekimbia mechi
Mangungu angewambia Nini wanasimba Kwa kufungwa mara 5 mfululizo ?
Simba wangeshindaje mechi ikiwa wachezaji wenye nafuu wana majeraha, kama Camara, Che Malon na Ngoma
Simba wangeshindaje mechi ikiwa wamezuiwa na kudhibitiwa kufanya ushirikina kiwanja huo usiku?
Na washazidiwa mbinu Kwa waganga
Simba wana ugeni gani Kwa Mkapa hadi iwe agenda ati hawakukagua uwanja? yaani kwamba Kapombe anakataa kucheza eti hapajui Kwa Mkapa?
Mangungu na viongozi wa Simba waseme wazi kuwa wameogopa mechi
Sisi Yanga tumeumia Kwa kupewa goli 3 na points 3 ambapo naamini wangekuja tungewala 6

Yanga bingwa
 
Kanuni zinasemaje Juu ya Sababu zakutokufanyika mchezo .
Kanuni Iko wazi
Timu isipofika kwenye mchezo, timu pinzani itapewa alama 3 na goli 5 pia kusuhwa daraja kwaiyo tutegemee mwakani Simba kucheza na Mawenzi Market
 
Timu zinaadhibu kila siku kwa vurugu za mashabiki wao,

huwa wanatambulikaje kuwa na mashabiki wa timu husika?
Hakuna komando wa kuzuia msafara wa police
 
Tukisimama kwenye ukweli, sababu ya kuzuiliwa kufanya mazoezi jana usiku haina mashiko! Kwa sababu Yanga na Simba zimekuwa zikiutumia huo uwanja kwa miaka mingi!
Sababu ya msingi hapa itakuwa ni imani tu za kishirikikina kwa pande zote mbili. Full stop
 
Kwa maelezo yako ni kuwa Simba na Yanga wanategemea uchawi kwenye kushinda mechi zao!!??
Yanga haina hawa watu na katiba ya Yanga haiwatambui
Kwamba hapa Tanzania Kuna kikundi kinachoitwa makomando wa Yanga ambacho Kwa makusidi linaweza kuzuia msafara wenye polisi kuingia uwanjani, hii siyo kweli
Hao watu wana nguvu Gani?
Kwamba waseme Afande Murillo na jeshi lako Leo hamuingii humu
Walikuwana silaha Gani?
Walikuwa wangapi?
Wanalipwa na nani? Ikiwa katiba ya Yanga haiwatambui

Simba waseme wazi wamekimbia mechi
Mangungu angewambia Nini wanasimba Kwa kufungwa mara 5 mfululizo ?
Simba wangeshindaje mechi ikiwa wachezaji wenye nafuu wana majeraha, kama Camara, Che Malon na Ngoma
Simba wangeshindaje mechi ikiwa wamezuiwa na kudhibitiwa kufanya ushirikina kiwanja huo usiku?
Na washazidiwa mbinu Kwa waganga
Simba wana ugeni gani Kwa Mkapa hadi iwe agenda ati hawakukagua uwanja? yaani kwamba Kapombe anakataa kucheza eti hapajui Kwa Mkapa?
Mangungu na viongozi wa Simba waseme wazi kuwa wameogopa mechi
Sisi Yanga tumeumia Kwa kupewa goli 3 na points 3 ambapo naamini wangekuja tungewala 6

Yanga bingwa
 
Tukisimama kwenye ukweli, sababu kususia mechi kwa kisingizio cha kuzuiliwa kufanya mazoezi jana usiku haina mashiko! Kwa sababu Yanga na Simba zimekuwa zikiutumia huo uwanja kwa miaka mingi!

Back
Top Bottom