ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Yanga haina hawa watu na katiba ya Yanga haiwatambui
Kwamba hapa Tanzania Kuna kikundi kinachoitwa makomando wa Yanga ambacho Kwa makusidi linaweza kuzuia msafara wenye polisi kuingia uwanjani, hii siyo kweli
Hao watu wana nguvu Gani?
Kwamba waseme Afande Murillo na jeshi lako Leo hamuingii humu
Walikuwana silaha Gani?
Walikuwa wangapi?
Wanalipwa na nani? Ikiwa katiba ya Yanga haiwatambui
Simba waseme wazi wamekimbia mechi
Mangungu angewambia Nini wanasimba Kwa kufungwa mara 5 mfululizo ?
Simba wangeshindaje mechi ikiwa wachezaji wenye nafuu wana majeraha, kama Camara, Che Malon na Ngoma
Simba wangeshindaje mechi ikiwa wamezuiwa na kudhibitiwa kufanya ushirikina kiwanja huo usiku?
Na washazidiwa mbinu Kwa waganga
Simba wana ugeni gani Kwa Mkapa hadi iwe agenda ati hawakukagua uwanja? yaani kwamba Kapombe anakataa kucheza eti hapajui Kwa Mkapa?
Mangungu na viongozi wa Simba waseme wazi kuwa wameogopa mechi
Sisi Yanga tumeumia Kwa kupewa goli 3 na points 3 ambapo naamini wangekuja tungewala 6
Yanga bingwa