NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #41
Acha kutetea ujuha mzee.Asiyependa akae kimya full stop!!, Kwahiyo yanga kuandaa event ya kufurahisha watu iwe ni kuifedhehesha?. Hope Kuna lengo kubwa la hiyo event lakini unatumia njia gani kuwashawishi watu wafike na kupata ulilokusudia?,Sio lazima kila kinachofanywa na club ukipende wewe ase!!.
Hakuna ujuha wala ujinga.... Acha watu watoe fursa kupitia current situation asee!!. Unajua wangapi watanufaika kupitia hiyo event?, Fikiria nje ya box mpira sasa ni fursa ndani ya uwanja hata nje ya uwanja.
Kwan wakati tumefungwa na wao goli 2 walitucheka ila tatizo lao hawakufanya party ila kwa sisi wananchi watajuta,kukosa kazi sawa ila wanaloSijawahi kuona Barcelona au Real Madrid ama derby ya za England wakifanya upuuzi Kama huo.
Ally kamwe na kikundi chako mlichodhamiria kukifanya hakika ni ujuha/ umbumbumbu hii haina tofauti na unbiten mwaisho wa siku wachezaji wakapumbazika wakapikwa na timu iliyokua inashika mkia kwenye msimamo wa ligi (ihefu).
Kwa Nini isifanyike hiyo party baada ya kuchukua kombe la shirikisho au baada ya kutolewa??
NALIA NGWENA ( shabiki yanga lialia) siungi napinga wazo la kufanya party ya kumcheka mtani.
Nawasilisha.
Point ni ww juha,watu wanashawishika kwa lip ??sio kumwambia Mtu aje wakati hujui unamleta vipi??kwan marketing hamjasoma??
Chukua soda ntalipa??mwalimu wako ni mzungu na ulisoma international schools ada kwa mwaka 17 milionHakuna ujuha wala ujinga.... Acha watu watoe fursa kupitia current situation asee!!. Unajua wangapi watanufaika kupitia hiyo event?, Fikiria nje ya box mpira sasa ni fursa ndani ya uwanja hata nje ya uwanja.
Kwan we tukuulize una akili??miaka mi4 mlikuwa mnajisifu wa kimataifa sio nyie,kwan sie tulibisha??mvumilie tu jaman wakati wetu huuKwani lini UTOPOLO WALIKUWA NA AKILI?????
Walimbukeni ni sisi ??kamwe limbukeni yuko kazin pale,ela inaingiaDogo ni limbukeni...hukuti mambo hayo nchi nyingine.
Hata Yanga wenyewe wanamkosoa....
Amejiharibia image yake....
Waambie bwana,wanawashwa sijui kwann??Hizo nchi nyingine unakuta maneno ya kombe la looser?Watu kuingia na jeneza uwanjani?watu kuitwa Maiti?
Tulieni hamwelewi hata maana ya hiyo event,bahati mbaya sana hamna Timu imetajwa jina kwenda kuchekwa
Mpigie Ally kamwe akupe maelekezoSijaelewa tukisha lipia mlangoni tukifika ukumbini unachukua siti yako then unaanza kucheka au utaratibu ukoje...
Yanga ni MALIMBUKENI, pia wanasumbuliwa na ugonjwa wa MSONGO WA MAWAZO uliosababishwa na kutokufanya vizuri katika medani za kimataifa, wanaitaji ushauri wa kisaikolojia.Sijawahi kuona Barcelona au Real Madrid ama derby ya za England wakifanya upuuzi Kama huo.
Ally kamwe na kikundi chako mlichodhamiria kukifanya hakika ni ujuha/ umbumbumbu hii haina tofauti na unbiten mwaisho wa siku wachezaji wakapumbazika wakapikwa na timu iliyokua inashika mkia kwenye msimamo wa ligi (ihefu).
Kwa Nini isifanyike hiyo party baada ya kuchukua kombe la shirikisho au baada ya kutolewa??
NALIA NGWENA ( shabiki yanga lialia) siungi napinga wazo la kufanya party ya kumcheka mtani.
Nawasilisha.
Njoo evidence za hizo party syo u aleta maneno matupuNini maana ya neno Mtani ?!!!!
Ukijua hilo wala usingeandika ulichoandika hapa....; Kwamba Man City hawawacheki Man United; AC Milan na Inter; Liverpool na Everton; Arsenal na Spurs; Real Madrid na Atletico; Villa na Birmingham City; River Plate na Boca Juniors ?;
Rudia kufanya research yako....
Naunga mkono hoja.Sijawahi kuona Barcelona au Real Madrid ama derby ya za England wakifanya upuuzi Kama huo.