Yanga kuandaa sherehe ya kuwacheka watani (Simba ) ni ukosefu wa kazi, wanayanga puuzeni Hilo Jambo lisilo na mantiki

Asiyependa akae kimya full stop!!, Kwahiyo yanga kuandaa event ya kufurahisha watu iwe ni kuifedhehesha?. Hope Kuna lengo kubwa la hiyo event lakini unatumia njia gani kuwashawishi watu wafike na kupata ulilokusudia?,Sio lazima kila kinachofanywa na club ukipende wewe ase!!.
Acha kutetea ujuha mzee.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna ujuha wala ujinga.... Acha watu watoe fursa kupitia current situation asee!!. Unajua wangapi watanufaika kupitia hiyo event?, Fikiria nje ya box mpira sasa ni fursa ndani ya uwanja hata nje ya uwanja.
 
Sijawahi kuona Barcelona au Real Madrid ama derby ya za England wakifanya upuuzi Kama huo.

Ally kamwe na kikundi chako mlichodhamiria kukifanya hakika ni ujuha/ umbumbumbu hii haina tofauti na unbiten mwaisho wa siku wachezaji wakapumbazika wakapikwa na timu iliyokua inashika mkia kwenye msimamo wa ligi (ihefu).

Kwa Nini isifanyike hiyo party baada ya kuchukua kombe la shirikisho au baada ya kutolewa??

NALIA NGWENA ( shabiki yanga lialia) siungi napinga wazo la kufanya party ya kumcheka mtani.

Nawasilisha.
Kwan wakati tumefungwa na wao goli 2 walitucheka ila tatizo lao hawakufanya party ila kwa sisi wananchi watajuta,kukosa kazi sawa ila wanalo
 
Hakuna ujuha wala ujinga.... Acha watu watoe fursa kupitia current situation asee!!. Unajua wangapi watanufaika kupitia hiyo event?, Fikiria nje ya box mpira sasa ni fursa ndani ya uwanja hata nje ya uwanja.
Chukua soda ntalipa??mwalimu wako ni mzungu na ulisoma international schools ada kwa mwaka 17 milion
 
Dogo ni limbukeni...hukuti mambo hayo nchi nyingine.
Hata Yanga wenyewe wanamkosoa....

Amejiharibia image yake....
Walimbukeni ni sisi ??kamwe limbukeni yuko kazin pale,ela inaingia
 
Hizo nchi nyingine unakuta maneno ya kombe la looser?Watu kuingia na jeneza uwanjani?watu kuitwa Maiti?
Tulieni hamwelewi hata maana ya hiyo event,bahati mbaya sana hamna Timu imetajwa jina kwenda kuchekwa
Waambie bwana,wanawashwa sijui kwann??
 
Sijaelewa tukisha lipia mlangoni tukifika ukumbini unachukua siti yako then unaanza kucheka au utaratibu ukoje...
 
Nini maana ya neno Mtani ?!!!!

Ukijua hilo wala usingeandika ulichoandika hapa....; Kwamba Man City hawawacheki Man United; AC Milan na Inter; Liverpool na Everton; Arsenal na Spurs; Real Madrid na Atletico; Villa na Birmingham City; River Plate na Boca Juniors ?;

Rudia kufanya research yako....
 
Mlishaambiwa wenye akili ni wawili tu. Wana lunyasi hapo hamkuelewa nn
 
Sijawahi kuona Barcelona au Real Madrid ama derby ya za England wakifanya upuuzi Kama huo.

Ally kamwe na kikundi chako mlichodhamiria kukifanya hakika ni ujuha/ umbumbumbu hii haina tofauti na unbiten mwaisho wa siku wachezaji wakapumbazika wakapikwa na timu iliyokua inashika mkia kwenye msimamo wa ligi (ihefu).

Kwa Nini isifanyike hiyo party baada ya kuchukua kombe la shirikisho au baada ya kutolewa??

NALIA NGWENA ( shabiki yanga lialia) siungi napinga wazo la kufanya party ya kumcheka mtani.

Nawasilisha.
Yanga ni MALIMBUKENI, pia wanasumbuliwa na ugonjwa wa MSONGO WA MAWAZO uliosababishwa na kutokufanya vizuri katika medani za kimataifa, wanaitaji ushauri wa kisaikolojia.

Na kama uhamini Kuna mjinga mmoja wa yanga anaefanana akili na manara juzi aliandika humu kuwa yanga ndio club ya kwanza Africa mashariki na kati eti kutinga nusu fainali ya kombe la luza nilicheka Sana , Hawa jamaa wanaitaji msaada kwa kweli.
 
344530444_830559185303008_7099845206385724044_n.jpg
 
Simba ni 8 Afrika.
Yanga 28 Afrika.

MBAKA HAPA Simba Ina 1.5 BILIONI Moja na Milioni mia Tano.
Yanga Bilioni 1.

Simba ana super cup.
Simba ana BILIONI 4 super cup.

1. Nimefikiria vizuri NIMEONA watucheke iwe ni Njia ya Simba kupambana Hadi kufa Ili wafikie Fainali ya KLABU BINGWA misimu ya mbeleni.

2. Wameboresha utani WA jadi na kuingiza pesa... Ref arsenal na spars....

3.Wamepeleka timu Hadi kwa watu wajisajili na kujiunga na yanga.

KONGOLE KWAO.....
 
Nini maana ya neno Mtani ?!!!!

Ukijua hilo wala usingeandika ulichoandika hapa....; Kwamba Man City hawawacheki Man United; AC Milan na Inter; Liverpool na Everton; Arsenal na Spurs; Real Madrid na Atletico; Villa na Birmingham City; River Plate na Boca Juniors ?;

Rudia kufanya research yako....
Njoo evidence za hizo party syo u aleta maneno matupu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sijawahi kuona Barcelona au Real Madrid ama derby ya za England wakifanya upuuzi Kama huo.

Ally kamwe na kikundi chako mlichodhamiria kukifanya hakika ni ujuha/ umbumbumbu hii haina tofauti na unbiten mwaisho wa siku wachezaji wakapumbazika wakapikwa na timu iliyokua inashika mkia kwenye msimamo wa ligi (ihefu).

Kwa Nini isifanyike hiyo party baada ya kuchukua kombe la shirikisho au baada ya kutolewa??

NALIA NGWENA ( shabiki yanga lialia) siungi napinga wazo la kufanya party ya kumcheka mtani.

Nawasilisha.
Naunga mkono hoja.
 
Back
Top Bottom