Yanga kuandaa sherehe ya kuwacheka watani (Simba ) ni ukosefu wa kazi, wanayanga puuzeni Hilo Jambo lisilo na mantiki

Ila dogo kichwa kitupu yule, anaharibu image ya Yanga yetu.
 
Wanasema kwa kuingia nusu fainali, Yanga imeshaondoka nafasi ya 28 Afrika ipo 22.
Semi final imemuongezea alama 5 zaidi kutoka 10 mpaka 15.
Wenzao Simba wana alama 35 wakati Namungo ana 1.5
 
Hakuna ujuha wala ujinga.... Acha watu watoe fursa kupitia current situation asee!!. Unajua wangapi watanufaika kupitia hiyo event?, Fikiria nje ya box mpira sasa ni fursa ndani ya uwanja hata nje ya uwanja.
Hakuna mtu anayepiga event,watu wanashangaa content behind the event,ni ujinga tu,hakuna ubunifu.
 
Ok,mnawacheka kwa sababu gani?kwa wao kutolewa robo fainali kwenye kombe ambalo nyie hata hatua ya makundi hamjaingia mwaka wa 30 huu?.Hivi tukiwaita hamnazo mtanuna kweli??
 
Soka letu bado lina safari ndefu watendaji nao wapo kimihemko zaidi badala ya kuweka ujuzi
 
Me nadhan utani wa Watani uendelee mana sina sababu hata moja inayoonesha huu utani unarudisha thaman ya mpira wetu zaidi naona mpira unaendelea kukua kila sku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…