OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #41
Eti wanauliza mmeuona mkataba?! Wakati wote tunasikia kauli zao na hata uongozi wa Yanga haupingi kwamba mkataba unataka hivyo.Sisi tunafanya reasoning kupitia kauli zao tu
Yanga wanapotambulisha jezi mpya walisema wamefikia makubaliano na SportPesa kuwaruhusu waingie dili na mfadhili mwingine.
Na watu wengi tulijua hili limeidhinishwa na SportPesa
SportPesa wamekuja kukanusha kwamba waliwapa Yanga option moja ya kuweka Visit Tanzania tu
Na wamefika mbali kuwapa Yanga siku 3 wawe wametoa nembo ya yule mdhamini
Mpaka hapa inaonesha kuna shida upande wa Yanga
Ajabu mashabiki wengi wa Uto wamekomaa na hoja ya bonus kama big issue wakati uongozi wa Yanga una recognize nafasi ya SportPesa kwenye hii ishu na ndio maana walienda kuomba ruhusa
Ni kama hawaelewi nini kipo disputed. Wao ni kama bendera tu