Joseph Gadiel
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 407
- 713
Nembo mbona ipo au mtoa mada ndiyo UMEBANDULIWA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo huyu jamaa yako hua anakuingiza mkenge na wewe ulivyo boya una jaa kizembe!Wengi wanashindwa kulitambua hili wamekomaa na bonus kama ndio big issue wakati ni reward isiyokuwa ya lazima
Tatizo la Yanga wote ni mambumbumbu, si viongozi wala si mashabiki wote akili zao zinafanana.Watu wana wivu na mpunga wataouvuta wanajangwani
Wakikusikia wenye hati miliki ya hilo jina mtatoana menoTatizo la Yanga wote ni mambumbumbu, si viongozi wala si mashabiki wote akili zao zinafanana.
Vipi wameshabandua?View attachment 2503200
Wakati mtaani watu wanasema kwenye mashindano ya kimataifa Sportpesa hawatoi hela.
Kwenye mkataba wa Yanga SC na SportPesa katika hatua hizi za makundi, robo fainali, nusu fainali na fainali kuna bonasi kutoka Sportpesa kwenda Yanga SC iwapo watashinda mechi, kuingia robo fainali, kuingia nusu fainali, kuingia fainali na kuchukua ubingwa.
Sasa kama mdhamini analipia yote hayo na anakuambia hataki uweke kitu kingine hapo unawezaje kumkiuka?
Wakati mwingine tufanye mambo kisasa kidogo, nafahamu Yanga SC na SportPesa walikuwa kwenye majadiliano Yanga wakiomba kutumia eneo ambalo SportPesa wanastahiki kuwepo kimkataba.
SportPesa wakakataa kwamba hawapaswi kufanya hivyo.
Kimkataba pia SportPesa wanahaki ya kusema nani awekwe hapo nani asiwekwe na kila upande unafahamu hilo.
Unabaki unajiuliza haya yametokeaje ili hali mkataba ni makubaliano ya kisheria ambayo yanapaswa kuheshimiwa na pande zote zilizomo kwenye huo mkataba?
Kuna mahala pana tatizo ingawa hatutaki kukubali na kusema ukweli.
BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)
Wamebanduliwa waoVipi wameshabandua?
Tengeneza hoja zako wewe kama wewe unategemea kulishwa hadi maneno..Navutia sana na hard arguments zake.
Akijibu nitag kakaVipi wameshabandua?
Muulize hiyo nembo imetolewa?Jamaa bora angepumzika tu kuanzisha nyuzi maana kila siku anaambulia aibu
Tatzo hapo ni huyo MD wa sportpesa sijui ni wa hapa bongo tyu au pote sptpexa ilipo[emoji1787][emoji1787]View attachment 2503200
Wakati mtaani watu wanasema kwenye mashindano ya kimataifa Sportpesa hawatoi hela.
Kwenye mkataba wa Yanga SC na SportPesa katika hatua hizi za makundi, robo fainali, nusu fainali na fainali kuna bonasi kutoka Sportpesa kwenda Yanga SC iwapo watashinda mechi, kuingia robo fainali, kuingia nusu fainali, kuingia fainali na kuchukua ubingwa.
Sasa kama mdhamini analipia yote hayo na anakuambia hataki uweke kitu kingine hapo unawezaje kumkiuka?
Wakati mwingine tufanye mambo kisasa kidogo, nafahamu Yanga SC na SportPesa walikuwa kwenye majadiliano Yanga wakiomba kutumia eneo ambalo SportPesa wanastahiki kuwepo kimkataba.
SportPesa wakakataa kwamba hawapaswi kufanya hivyo.
Kimkataba pia SportPesa wanahaki ya kusema nani awekwe hapo nani asiwekwe na kila upande unafahamu hilo.
Unabaki unajiuliza haya yametokeaje ili hali mkataba ni makubaliano ya kisheria ambayo yanapaswa kuheshimiwa na pande zote zilizomo kwenye huo mkataba?
Kuna mahala pana tatizo ingawa hatutaki kukubali na kusema ukweli.
BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)
Mwekezaji mwenye bil 20 zake anauliza kakaView attachment 2503200

Makolo yanaulizwa mbona hayapoWamebanduliwa wao
😂 uwezi kuwa mchambuzi wa kila mchezo, ni bongo tu tuna vipaji hivyoWachambuzi wa Bongo wapo Imara kwenye kila sekta kwanzia kwenye sheria na mikataba, Mbinu za mpira, ukocha , Urefa, Riadha, ndondi.. Daah! Wachambuzi wa bongo wapo juu sana , nawakubali maana hakuna kitu hawajui
Kabanduliwa yeye muanzisha threadVipi wameshabandua?
kati ya hizo options mbili umeona ipi?Kwani lazima KUBANDUA NEMBO..?? Je kama wapo tayari kuwalipa Sportpesa TATIZO LIPO WAPI…???
Naona watu mnakimbilia kwny kubandua nembo wakati kuna option ya pili ya kuwalipa Sportpesa. Kwanini msijikite huko kwa kuuliza kwamba JE, YANGA WANABANDUA NEMBO AU WATAWALIPA SPORTPESA..??