Yanga kubandua nembo ya Haier kimkataba

Yanga kubandua nembo ya Haier kimkataba

π—¬π—”π—‘π—šπ—” 𝗦𝗖 𝗑𝗔 𝗦𝗣𝗒π—₯π—§π—£π—˜π—¦π—” 𝗠𝗔𝗠𝗕𝗒 π—¦π—”π—™π—œ

Mkurugenzi wa fedha na utawala Sportpesa π—”π—•π—”π—¦π—œ 𝗧𝗔π—₯π—œπ— π—•π—” amesema hakuna shida yoyote kwa sasa wao Kama Wadhamini wakuu wa Yanga Sportpesa kuwazuia Yanga kutumia mdhamini mwingine π—›π—”π—œπ—˜π—₯ kwenye mashindano aya ya kimataifa.

Sisi Kama Sportpesa tumeshafanya mazungumzo na Yanga na bado tunaendelea kufanya nao mazungumzo hakuna ambacho kitashindakana kwa kuwa busara zitatumika kumalizana tatizo hili.Kama mnavyoona jana Yanga sc walishaanza kumtumia mdhamini wao mpya π—›π—”π—œπ—˜π—₯ wakati wanasafiri kwenda Tunisia hivyo hakuna ambacho kitashindakana kumaliza Jambo hili.Sisi Kama familia ya Yanga sc Wadhamini wao Sportpesa tunawatakia kila heri kwenye mchezo huu dhidi ya 𝗨𝗦 π— π—’π—‘π—”π—¦π—§π—˜π—₯π—œπ—˜π—¦.

[emoji2398]ABASI TARIMBA
 
imeisha iyo...vizabizabina SHHHHHHH.
 
View attachment 2503200
Wakati mtaani watu wanasema kwenye mashindano ya kimataifa Sportpesa hawatoi hela.

Kwenye mkataba wa Yanga SC na SportPesa katika hatua hizi za makundi, robo fainali, nusu fainali na fainali kuna bonasi kutoka Sportpesa kwenda Yanga SC iwapo watashinda mechi, kuingia robo fainali, kuingia nusu fainali, kuingia fainali na kuchukua ubingwa.

Sasa kama mdhamini analipia yote hayo na anakuambia hataki uweke kitu kingine hapo unawezaje kumkiuka?

Wakati mwingine tufanye mambo kisasa kidogo, nafahamu Yanga SC na SportPesa walikuwa kwenye majadiliano Yanga wakiomba kutumia eneo ambalo SportPesa wanastahiki kuwepo kimkataba.

SportPesa wakakataa kwamba hawapaswi kufanya hivyo.

Kimkataba pia SportPesa wanahaki ya kusema nani awekwe hapo nani asiwekwe na kila upande unafahamu hilo.

Unabaki unajiuliza haya yametokeaje ili hali mkataba ni makubaliano ya kisheria ambayo yanapaswa kuheshimiwa na pande zote zilizomo kwenye huo mkataba?

Kuna mahala pana tatizo ingawa hatutaki kukubali na kusema ukweli.

BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)
ACHANA NA HUYO JAMAA SHOGA HUYO,AU NA WEWE SHOGA YAKO?
 
Mtoa mada muda wa kuitelekeza thread yako kama ulivyofanya kule kwa Kibu manywele na Mayele
 
Mnasoma maelezo au mnapitia tu. Kama issue imeisha mnaelewa nini maana ya maneno haya "hakuna ambacho kitashindakana kumaliza jambo hili" au "bado tunaendelea kufanya nao mazungumzo". Ni wazi na wengine tulishasema SP wasingeweza kureact kisheria mara moja kwa jambo hili, timing haikuwa nzuri kwao na hakuna asiyewajua mashabiki wa Yanga walivyo na mihemko. Isingekuwa nzuri kwa biashara.

Hii ngoma bado mbichi. Pia za ndaaaani kabisa ni kuwa mkataba ule wa Haier ni wa miaka 3 siyo mwaka 1 kama ilivyotangazwa hapo mwanzo.
 
View attachment 2503200
Wakati mtaani watu wanasema kwenye mashindano ya kimataifa Sportpesa hawatoi hela.

Kwenye mkataba wa Yanga SC na SportPesa katika hatua hizi za makundi, robo fainali, nusu fainali na fainali kuna bonasi kutoka Sportpesa kwenda Yanga SC iwapo watashinda mechi, kuingia robo fainali, kuingia nusu fainali, kuingia fainali na kuchukua ubingwa.

Sasa kama mdhamini analipia yote hayo na anakuambia hataki uweke kitu kingine hapo unawezaje kumkiuka?

Wakati mwingine tufanye mambo kisasa kidogo, nafahamu Yanga SC na SportPesa walikuwa kwenye majadiliano Yanga wakiomba kutumia eneo ambalo SportPesa wanastahiki kuwepo kimkataba.

SportPesa wakakataa kwamba hawapaswi kufanya hivyo.

Kimkataba pia SportPesa wanahaki ya kusema nani awekwe hapo nani asiwekwe na kila upande unafahamu hilo.

Unabaki unajiuliza haya yametokeaje ili hali mkataba ni makubaliano ya kisheria ambayo yanapaswa kuheshimiwa na pande zote zilizomo kwenye huo mkataba?

Kuna mahala pana tatizo ingawa hatutaki kukubali na kusema ukweli.

BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)
 
Attachments

  • 329687533_868753717514723_7187381655169383591_n.jpg
    329687533_868753717514723_7187381655169383591_n.jpg
    165.7 KB · Views: 2
Mnasoma maelezo au mnapitia tu. Kama issue imeisha mnaelewa nini maana ya maneno haya "hakuna ambacho kitashindakana kumaliza jambo hili" au "bado tunaendelea kufanya nao mazungumzo". Ni wazi na wengine tulishasema SP wasingeweza kureact kisheria mara moja kwa jambo hili, timing haikuwa nzuri kwao na hakuna asiyewajua mashabiki wa Yanga walivyo na mihemko. Isingekuwa nzuri kwa biashara.

Hii ngoma bado mbichi. Pia za ndaaaani kabisa ni kuwa mkataba ule wa Haier ni wa miaka 3 siyo mwaka 1 kama ilivyotangazwa hapo mwanzo.
Endelea kushupalia ya Yanga na sportpesa hivyo hivyo mpaka mwisho, sawa. Ila Yanga ameshakunja pesa tayari. Na kwa bahati mbaya macho yako yakaona hayo maneno tu ila neno BUSARA hukuona kwavile haupendi kuona muafaka mzuri baina ya pande hizo mbili. Lengo lako uone Yanga ikikomoka. Ila pole sana
 
Busara ndiyo imewaokoa maana nyie msingechelewa kwenda kuwapiga wafanyakazi wa SP. Msimu ukiisha mtatafutana.

Mkishindwaga hoja mnakuwaga wa bardiiiii.
 
Asa ukisoma hayo maelezo ni nani kawa wa baridi kati ya Yanga na Sportpesa? Yanga hawakuwa wanyonge kwanzia saka saka lianze walibaki na msimamo wao vile vile, hawakubandua jezi, hawakusitisha uuzaji wa jezi na wala hawakuhofia lolote walisonga mbele kwa mbele.
 
Sawa. Nyie ndiyo wababe wenyewe πŸ’ͺhadi SportPesa wamenywea. Simba wana mengi ya kujifunza kutoka kwenu.
 
Sema mkuu OKW BOBAN SUNZU huna bahati kabisa. 🀣🀣🀣

Kila uzi unaoanzisha kuhusu Yanga unageuka kaa la moto kwako.
Mimi nafurahi sana anvyoanza na "Ki" mwishowe uzi unakuwa wa kimbumbumbu

Uzi wa Azizi ki =Kihasibi Yanga Kapigwa

Uzi wa Kibu Vs Mayele = Kitakwimu

Uzi wa Try again kupindua meza usajili wa Azizi Ki = Kitaalamu inaitwaje

Wa Sportpesa huu ni = Kimkataba
 
Tunamuomba aanzishe uzi wa Yanga kufungwa siku ya jumapili. Ili aturahisiahie Yanga point zetu mapema kabisa. Maana jamaa ana asili ya nyuzi zake kuwa na gundu. OKW BOBAN SUNZU anzisha uzi wa Yanga kutoambulia hata alama moja Tunisia.
 
View attachment 2503200
Wakati mtaani watu wanasema kwenye mashindano ya kimataifa Sportpesa hawatoi hela.

Kwenye mkataba wa Yanga SC na SportPesa katika hatua hizi za makundi, robo fainali, nusu fainali na fainali kuna bonasi kutoka Sportpesa kwenda Yanga SC iwapo watashinda mechi, kuingia robo fainali, kuingia nusu fainali, kuingia fainali na kuchukua ubingwa.

Sasa kama mdhamini analipia yote hayo na anakuambia hataki uweke kitu kingine hapo unawezaje kumkiuka?

Wakati mwingine tufanye mambo kisasa kidogo, nafahamu Yanga SC na SportPesa walikuwa kwenye majadiliano Yanga wakiomba kutumia eneo ambalo SportPesa wanastahiki kuwepo kimkataba.

SportPesa wakakataa kwamba hawapaswi kufanya hivyo.

Kimkataba pia SportPesa wanahaki ya kusema nani awekwe hapo nani asiwekwe na kila upande unafahamu hilo.

Unabaki unajiuliza haya yametokeaje ili hali mkataba ni makubaliano ya kisheria ambayo yanapaswa kuheshimiwa na pande zote zilizomo kwenye huo mkataba?

Kuna mahala pana tatizo ingawa hatutaki kukubali na kusema ukweli.

BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)
Haya wewe na huyo binti Kazumari koa wapi leo?

Yanga ni dude kubwa, mwambieni huyo binti Kazumari ujuwaji wake aufanye Kwa timu kama Kitayose na siyo lidude likubwa kama Yanga.
 
Back
Top Bottom