ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
π¬ππ‘ππ π¦π π‘π π¦π£π’π₯π§π£ππ¦π π ππ ππ’ π¦πππ
Mkurugenzi wa fedha na utawala Sportpesa ππππ¦π π§ππ₯ππ ππ amesema hakuna shida yoyote kwa sasa wao Kama Wadhamini wakuu wa Yanga Sportpesa kuwazuia Yanga kutumia mdhamini mwingine πππππ₯ kwenye mashindano aya ya kimataifa.
Sisi Kama Sportpesa tumeshafanya mazungumzo na Yanga na bado tunaendelea kufanya nao mazungumzo hakuna ambacho kitashindakana kwa kuwa busara zitatumika kumalizana tatizo hili.Kama mnavyoona jana Yanga sc walishaanza kumtumia mdhamini wao mpya πππππ₯ wakati wanasafiri kwenda Tunisia hivyo hakuna ambacho kitashindakana kumaliza Jambo hili.Sisi Kama familia ya Yanga sc Wadhamini wao Sportpesa tunawatakia kila heri kwenye mchezo huu dhidi ya π¨π¦ π π’π‘ππ¦π§ππ₯πππ¦.
[emoji2398]ABASI TARIMBA