Yanga kubandua nembo ya Haier kimkataba

Vipi wameshabandua?
 
Kwani lazima KUBANDUA NEMBO..?? Je kama wapo tayari kuwalipa Sportpesa TATIZO LIPO WAPI…???
Naona watu mnakimbilia kwny kubandua nembo wakati kuna option ya pili ya kuwalipa Sportpesa. Kwanini msijikite huko kwa kuuliza kwamba JE, YANGA WANABANDUA NEMBO AU WATAWALIPA SPORTPESA..??
 
Tatzo hapo ni huyo MD wa sportpesa sijui ni wa hapa bongo tyu au pote sptpexa ilipo[emoji1787][emoji1787]
 
Mwekezaji mwenye bil 20 zake anauliza kaka
 

Attachments

  • Mo.jpg
    67.1 KB · Views: 2
Wachambuzi wa Bongo wapo Imara kwenye kila sekta kwanzia kwenye sheria na mikataba, Mbinu za mpira, ukocha , Urefa, Riadha, ndondi.. Daah! Wachambuzi wa bongo wapo juu sana , nawakubali maana hakuna kitu hawajui
😂 uwezi kuwa mchambuzi wa kila mchezo, ni bongo tu tuna vipaji hivyo
 
kati ya hizo options mbili umeona ipi?
 
Hata wakitolewa hatua hii wamepata mwanga kimataifa inaonekana walikua weupee hawa wenzetu mpaka wanachanganya michuano, aibu naona mim.
 
Siku tatu zimepita sijamtia me machoni, washikaji walisema kakatiza sasa hivi [emoji344] [emoji445][emoji445][emoji445] AB Skills [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…