Yanga kufungwa na Azam kumeiongezea umakini na makali

Sasa wamefungwa tatu na Tabora aisee ndio watazidi kuwa makiniiiii balaaa
Bacca, yao, job, Boka na Andabwile wote walikosekana kwa wakati mmoja. Ujidanganye kuwa Yanga imeshuka Ili kutafuta furaha bandia.
 
Hapo umakini umezidi kuongezeka. Kila mchezaji ataongeza umakini kumsikiliza kocha kuliko zamani kabla ya kupoteza mechi 2
Umakini umeongezeka, kutoka kufungwa goli moja Hadi kufikia matatu.
 
Narudia tena,Makolo vipigo mfululizo vikianza hatutaki kuskiaa zile story za kina Mangungu tuachie timu yetu..
 
Oyaa kaliwa tena yanga vi2 vya nguvu haahaah umakini my foot? Makali my ass? Haahaahaahaahaaaaa
 
Sio kweli kumeifungulia mikosi,Nuksi, na laana
 
Huyo itakaekuja Kila mtu atamhurumia kwa kipigo cha mbwamwizi atakachokipata

M
Haaahaah mmeliwa tena

Haahaahaaah mmeliwa tena

Wasudani wasudani wasudani baba wameshafanya yao
 
Mechi zijazo msishangae tabora alitumia paketi moja,kuna atakayetumia hata mbili
Hata Juma Mgunda alikuwa na mawazo kama Yako. Alikaribia kabisa kufungwa 5 kama mambo yangekwenda vizuri.

Anaesema Yanga imeshuka kiwango hajui mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…