Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hao ndio wafungajiBacca, yao, job, Boka na Andabwile wote walikosekana kwa wakati mmoja. Ujidanganye kuwa Yanga imeshuka Ili kutafuta furaha bandia.
😃😃 Ole mechi ijayo wafungwe tenaAisee umakini umeongezeka sanaa
Sio kweli kumeifungulia mikosi,Nuksi, na laanaYanga ilifungwa na Azam lakini wanaYanga wanaona poa tu. Kufungwa huku sio udhaifu bali ni mwanzo wa wachezaji na walimu kuongeza umakini na juhudi kwenye mechi.
Bila ya hivyo kiburi na kujiamini kulikopitiliza kungetamalaki kikosini. Hata wasanii wa hovyo walitunga nyimbo za kuwaaminisha wachezaji, walimu, viongozi na mashabiki kuwa Yanga haiwezi kufungwa, bila shaka nyimbo za aina hii zimejimaliza zenyewe baada ya Yanga kupoteza mechi dhidi ya Azam.
Hata hivyo, pamoja na kufungwa lakini Azam ndio waliokuwa wanaomba mechi iishe kwa ushindi wa tugoli tumoja dhidi ya Yanga yenyewe wachezaji pungufu.
Hii ni kuonyesha kuwa timu zote nchini zinaiheshimu sana Yanga.
Natabiri kuwa baada ya mchezo ule Yanga haitapoteza tena na itafungua ukurasa wa magoli mengi dhidi ya wapinzani na hkuna mchezaji atakaeshangaa wala kuhoji kama Gamondi atamsugulisha mbao ndefu kikosini.
Amepata sababu ya kuwanyima namba wachezaji wasiojituma na wanaopoteza nafasi za wazi.
Haaahaah mmeliwa tenaHuyo itakaekuja Kila mtu atamhurumia kwa kipigo cha mbwamwizi atakachokipata
M
Hata Juma Mgunda alikuwa na mawazo kama Yako. Alikaribia kabisa kufungwa 5 kama mambo yangekwenda vizuri.Mechi zijazo msishangae tabora alitumia paketi moja,kuna atakayetumia hata mbili
Mgumba kapata mimba mate mji mzimaHata Juma Mgunda alikuwa na mawazo kama Yako. Alikaribia kabisa kufungwa 5 kama mambo yangekwenda vizuri.
Anaesema Yanga imeshuka kiwango hajui mpira.