usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Milioni 600 ni sawa na kuchukua VPL kwa miaka 7.
Simba endeleeni kupambana mpate mil 80 ndio kiwango chenu
Vpl mara 7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Milioni 600 ni sawa na kuchukua VPL kwa miaka 7.
Simba endeleeni kupambana mpate mil 80 ndio kiwango chenu
Hahahahaaa. Na mie nikaikumbuka.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimejikuta nakumbuka ile kanga iliyokuwa na maandishi ya
"ALIYEPEWA KAPEWA....
hahahaaaaaa msemaji wa simba na ID fakeNi aibu timu kubwa haina cha kujisifu zaid ya kusema wao wamepanda ndege, wamemwaga kifusi uwanjan kwao, wamelipwa million 600. Narudia tena ni aibu kubwa tim yenye fanbase kubwa kama yangu kujisifu kuhusu vifusi
Umeonaeee. Tambo zake zote ikifika mechi na Yanga anatulia.vinginevyo tar 29..tutaongeza dozi badala ya 5 zitakuwa 7.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
****Manara anawapotosha sana Mikia fc****
Hahahaa. Umeona Pacha bado wana misimu kibao kufikisha hiyo pesa.Milioni 600 ni sawa na kuchukua VPL kwa miaka 7.
Simba endeleeni kupambana mpate mil 80 ndio kiwango chenu
Hahahaaa. Halafu eti wanajiona wana tiimu.Haa haa hao kawaida yao
Kwenda vingungut machinjion
kuchukua vichwa vya kondoo vyeus
Wera wera weraaaa.... Wakumbushe wana msimbazi kuwa "WIVU NI KIDONDA WAKISHIRIKI WATAKONDA"Hahahahaaa. Na mie nikaikumbuka.
"RIZIKI YA MWENZIO USIILALIE MLANGO WAZI" lol.
Ewaaaaaaa.Wera wera weraaaa.... Wakumbushe wana msimbazi kuwa "WIVU NI KIDONDA WAKISHIRIKI WATAKONDA"
HahahahahahaNyie nendeni makundi ya Whatsapp View attachment 749682
Wa mchangani endeleeni kununua penati na magolikwanza niwapongeze yanga kwa kuingia hatua ya Makundi ...mmepata pesa lazima tuwapongeze katika hilo!
lakini hii jeuri ya kuitukana ligi yetu VPL kwakuwa tu mmepata hela je ni ujinga au ni ule msemo Wa maskini akipata matako hulia mbwata?
Leo hii mmesahau kuwa ligi ndio iliyosababisha mkapata hizo m 600?
"tumechukua m600 , wakati ligi wanatoa m80, kwahiyo sisi ni zaidi kuliko Simba!"
yanga bhana!
sasa niwaambie tu kwa matusi haya ..mwakani ndege mtaiona kwenye movie za kivita tu shenzi type....
vinginevyo tar 29..tutaongeza dozi badala ya 5 zitakuwa 7.