Yanga kuingia hatua ya makundi na kuidharau VPL ni uboya au upoyoyo?

Yanga kuingia hatua ya makundi na kuidharau VPL ni uboya au upoyoyo?

Kama sijakosea yanga baada ya kuingia hatua ya makundi wanapata dola za kimarekani laki tano kwa hela yetu ni kama bilioni moja na kitu.
 
kwanza niwapongeze yanga kwa kuingia hatua ya Makundi ...mmepata pesa lazima tuwapongeze katika hilo!

lakini hii jeuri ya kuitukana ligi yetu VPL kwakuwa tu mmepata hela je ni ujinga au ni ule msemo Wa maskini akipata matako hulia mbwata?

Leo hii mmesahau kuwa ligi ndio iliyosababisha mkapata hizo m 600?

"tumechukua m600 , wakati ligi wanatoa m80, kwahiyo sisi ni zaidi kuliko Simba!"

yanga bhana!

sasa niwaambie tu kwa matusi haya ..mwakani ndege mtaiona kwenye movie za kivita tu shenzi type....

vinginevyo tar 29..tutaongeza dozi badala ya 5 zitakuwa 7.
We kaa na Mikia wako aka Rufaa FC..Saizi yako ni Ndanda na Njombe Mji.
 
Narudia tena kwa hili hauhitaji kuwa na degree kujua tofauti ya million 600 na million 80 just simple calculation. Na tarehe 29 tunawapiga tu bora tupoteze kwa majimaji kuliko mikia fc
 
Mmekubali kumaliza msimu bila kombe lolote... Hamjui mwaka kesho mtabaki humu kama sie
Hahahaaa. Ndio mwanzo wa kujipanga Mtani.

Tulishachemsha mwanzo Mtani. Ila niseme tu hatutakuwa kama nyie kwamba tutakaa misimu mitano bila kikombe. [emoji85] [emoji85]
 
Hata mwaka Jana mlitokea makundi
Nendeni mkashindane sio mfurahie ela km malaya wa Makoroboi
 
Yale makombe ya Malinzi hayapo tena
Hahahaaa. Ndio mwanzo wa kujipanga Mtani.

Tulishachemsha mwanzo Mtani. Ila niseme tu hatutakuwa kama nyie kwamba tutakaa misimu mitano bila kikombe. [emoji85] [emoji85]
 
kwanza niwapongeze yanga kwa kuingia hatua ya Makundi ...mmepata pesa lazima tuwapongeze katika hilo!

lakini hii jeuri ya kuitukana ligi yetu VPL kwakuwa tu mmepata hela je ni ujinga au ni ule msemo Wa maskini akipata matako hulia mbwata?

Leo hii mmesahau kuwa ligi ndio iliyosababisha mkapata hizo m 600?

"tumechukua m600 , wakati ligi wanatoa m80, kwahiyo sisi ni zaidi kuliko Simba!"

yanga bhana!

sasa niwaambie tu kwa matusi haya ..mwakani ndege mtaiona kwenye movie za kivita tu shenzi type....

vinginevyo tar 29..tutaongeza dozi badala ya 5 zitakuwa 7.
Boya au poyoyo gani kakwambia Yang imedharau VPL?
Defending champion in Yanga. Mwaka huu Yanga inachukua ndoo mara ya nne mfulilizo.
 
Hahahaaa. Hayo yalikuwa mawazo yako tu Mtani kama timu ilikuwa bora kwa nini Ubingwa usiwepo sasa?
Angalia Leo Okwi amepiga penalty hata 4 hazifiki...Watani wanadai tunanunua penalty.
Wkt Msuva anapiga zaidi ya 8 walikuwa wanaona sawa.

Malizieni furaha Ligi iendelee msikate tamaa Ligi bado
 
Back
Top Bottom