Yanga kuingia hatua ya makundi na kuidharau VPL ni uboya au upoyoyo?

Yanga kuingia hatua ya makundi na kuidharau VPL ni uboya au upoyoyo?

Hoja ya kupanda ndege ni hoja ya kipuuzi...watu wazima mnajadiliana eti sisi tutapandandege na nyie hamtapanda ndege....hovyo kabisa...mijadala ya aina ndiyo sababu mojawapo inayofanya soka yetuiendelee kudumaa...baaadala ya mijadala kujikita na masuala ya ufundi mpirani/uwanjani watu wazima tunajadiliana kupanda au kutlopanda ndege...hovyo kabisa...
Pole hujafikiria nje ya box. Wanaposema ndege ni lugha ya picha kuna kitu kinamaanishwa hivyo fikiria zaidibp utagundua sio ndege kama ndege maana kama huna uwakilishi wa kimataifa utapandishaje timu ndege?
 
Milioni 600 ni sawa na kuchukua VPL kwa miaka 7.
Simba endeleeni kupambana mpate mil 80 ndio kiwango chenu
Katibu Mkuu wa Yanga, Mkwasa, amesema wana Yanga waachane na dhana kwamba timu imepata pesa nyingi, kwa maana hizo hela ni kwa ajili ya maandalizi ya mechi sita za makundi, kwani watahitaji kugharamia tiketi na kuwagharamia wenyeji watakaowapokea.
NB: Hela ndefu ilikuwa ni ile waliyoikosa Yanga kwenye makundi ya ligi ya Mabingwa, ambapo wangevuta 1.1B
 
Back
Top Bottom