Yanga kuingia hatua ya makundi na kuidharau VPL ni uboya au upoyoyo?

Milioni 600 ni sawa na kuchukua VPL kwa miaka 7.
Simba endeleeni kupambana mpate mil 80 ndio kiwango chenu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Vpl mara 7
 
Ni aibu timu kubwa haina cha kujisifu zaid ya kusema wao wamepanda ndege, wamemwaga kifusi uwanjan kwao, wamelipwa million 600. Narudia tena ni aibu kubwa tim yenye fanbase kubwa kama yangu kujisifu kuhusu vifusi
 
katika kitu kimewauma simba ni hatua ya yanga kuingia nafasi ya makundi... mapovu tupu mtaani... tunawakaribisha sana airport maana kutakua na mafuriko ya wqnajangwqni kuwalaki makomandoo na wababe wa soka africa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimejikuta nakumbuka ile kanga iliyokuwa na maandishi ya
"ALIYEPEWA KAPEWA....
Hahahahaaa. Na mie nikaikumbuka.

"RIZIKI YA MWENZIO USIILALIE MLANGO WAZI" lol.
 
Ni aibu timu kubwa haina cha kujisifu zaid ya kusema wao wamepanda ndege, wamemwaga kifusi uwanjan kwao, wamelipwa million 600. Narudia tena ni aibu kubwa tim yenye fanbase kubwa kama yangu kujisifu kuhusu vifusi
hahahaaaaaa msemaji wa simba na ID fake
 
hehehe naona mtoa mada umeamua utoe duku duku lako,
 
vinginevyo tar 29..tutaongeza dozi badala ya 5 zitakuwa 7.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
****Manara anawapotosha sana Mikia fc****
Umeonaeee. Tambo zake zote ikifika mechi na Yanga anatulia.

Wasubiri waone.
 
Milioni 600 ni sawa na kuchukua VPL kwa miaka 7.
Simba endeleeni kupambana mpate mil 80 ndio kiwango chenu
Hahahaa. Umeona Pacha bado wana misimu kibao kufikisha hiyo pesa.

Kwa kweli wapambane nazo tu Pacha.
 
Hahahahaaa. Na mie nikaikumbuka.

"RIZIKI YA MWENZIO USIILALIE MLANGO WAZI" lol.
Wera wera weraaaa.... Wakumbushe wana msimbazi kuwa "WIVU NI KIDONDA WAKISHIRIKI WATAKONDA"
 
Chirwa anadai milion 90 za usajili

Shshimbi milioni 80

Ngoma milioni 80

Kamusoko 80

Ajibu milioni 40

Malimbikizo ya mishara wachezaji milion 360.

Malimbikizo mishahara bench la ufundi milioni 190.

Deni la kifusi tulicho mwaga kaunda milion 40.

Ukipiga hesabu utajua anaeshangilia hiyo hela jua kaponyoka jela kwa madeni. ‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂
 
Wera wera weraaaa.... Wakumbushe wana msimbazi kuwa "WIVU NI KIDONDA WAKISHIRIKI WATAKONDA"
Ewaaaaaaa.

Kabisaaa na wasisahau siku zote "KILA JAMBO HUPANGWA NA MUNGU"

Hivyo watulizane hakuna uchawi pale.
 
Wa mchangani endeleeni kununua penati na magoli

Yanga International
600 itapendeza zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…