Yanga kuingia hatua ya makundi na kuidharau VPL ni uboya au upoyoyo?

Duuu maskin wa mchangani mmezdi kwa wivu huu
 
We we TE="3llyEmma, post: 26755043, member: 460728"]Mmekubali kumaliza msimu bila kombe lolote... Hamjui mwaka kesho mtabaki humu kama sie[/QUOTE]
Wewe unayo mangapi mpaka sasa?
 
We we TE="3llyEmma, post: 26755043, member: 460728"]Mmekubali kumaliza msimu bila kombe lolote... Hamjui mwaka kesho mtabaki humu kama sie
Wewe unayo mangapi mpaka sasa?[/QUOTE]
Yapo ya kutosha...
Kwani huko makundi una historia gani?
 
Upopoyo
Wamejifanya kusahau
Kuwa kama hujachukua kombe la bata hizo mill 600 wasingezipa

Ligi wameshakata tamaa walijifanya wangechuku FA
Nako wameangukia pua
Malinzi hayupo tena MADARAKANI
Hawapati kombe mwaka huu hivyo hata hizo mill kadhaa mwakani watazisikia tu

Nina banda umiza Simba wakicheza hata kama mvua inanyesha watajaa
Ila Yanga mmmh hasara tu
 
Wivu wa kike
 
Inaenda kuchukua kombe la shirikisho, kuna ubaya gani hapo ?
 
Ubingwa sio hela....ni hadhi ambayo hauwezi kuinunua kwa hela.Unaposema bingwa wa ligi kuu ni nothing kwakuwa tu anapewa hela ndogo unakuwa unakiuka vigezo vya uanamichezo
 

taarifa yako atuji kwako sababu ukipata pesa unaleta waganga wa kuirogea mikia ishinde mechi zako kwa
 
Kuna ugonjwa fulani mashabiki wa mikia wameambukizwa na Manara,kumbe ishu ya kupanda ndege ilikua inawauma enheeee..??mbona mlikua mnavunga sasa kwa hiyo na nyinyi mnatamba sasa kupanda ndege ngoga wahuni wabinue meza.
 
Ni aibu timu kubwa haina cha kujisifu zaid ya kusema wao wamepanda ndege, wamemwaga kifusi uwanjan kwao, wamelipwa million 600. Narudia tena ni aibu kubwa tim yenye fanbase kubwa kama yangu kujisifu kuhusu vifusi
Simba je?
 

Hoja ya kupanda ndege ni hoja ya kipuuzi...watu wazima mnajadiliana eti sisi tutapandandege na nyie hamtapanda ndege....hovyo kabisa...mijadala ya aina ndiyo sababu mojawapo inayofanya soka yetuiendelee kudumaa...baaadala ya mijadala kujikita na masuala ya ufundi mpirani/uwanjani watu wazima tunajadiliana kupanda au kutlopanda ndege...hovyo kabisa...
 
Yanga ndio timu pekee duniani inayocheza kupata hela na bado haina hela ila timu zingine zinacheza kupata mataji tu hela kwao sio tatizo maana zipo za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…