Yanga kuizidi Simba points za CAF

Yanga kuizidi Simba points za CAF

Acha uong
Issue ipo hiviiii


simba ana point 28. Yanga ana point 24. Yanga akiingia makundi kesho anapata point 10 jumla anakua na 34. Simba akifuzu na yeye kombe la looser ( wamama) anapata point 2.5 so anakua na point 30.5 so yanga anakua juu ya simba
Acha uongo
 
Unateseka ukiwa wapi?
Vichaka vyote mlivyokuwa mnavitumia kujifichia vinavyekwa;
1. Mlisema kombe la luzaaaaa... Leo mpo wapi?
2. Mlisema nyie ni wa kimataifa, leo hadi coast na Azam nao ni wa kimataifa.
3. Na sasa kichaka cha rank kipo mbioni kufyekwa

NB: Kipimo cha kombe la luzaa kwa taifa hili la Tanzania ni kufika fainali. Kesho tutawaona..!!
Kombe la looser ndio limewapa point
 
Kwasasa Simba ina point 28 huku Yanga ikiwa na point 24, point zimepungua kwasababu tayari mashindano mapya yameshaanza ya msimu wa 2024/2025 hivyo ranking inafanyika kwa kuchukua misimu minne nyuma huku zile vizidishio ( coefficient) zikiwa zimebadilika.

1) 2024/2025 ( coefficient ni 5) point ni 0 kwa timu zote zinazoshiriki mashindano kwavile hatua ya makundi hayajaisha bado.

2) 2023/2024 (coefficient ni 4) Simba ina point 3 na Yanga point 3 hapa wote wana point 12

3) 2022/2023 (coefficient ni 3) Simba ina point 3 huku Yanga ikiwa na point 4 hivyo Simba inakuwa na point 9 huku Yanga ikiwa na point 12

4) 2021/2022 (coefficient ni 2) Simba ina point 2 huku Yanga ikiwa na point 0 hivyo Simba wanakuwa na point 4 huku upande wa Yanga haina point.

5)2020/2021 (coefficients ni 1) Simba ina point 3 huku Yanga wakiwa hawana point.

Ukihesabu jumla ya point za Simba hadi sasa inakuwa 12+9+4+3= 28
Ukihesabu jumla ya point za Yanga hadi sasa ni 12+12=24

Kama timu zote mbili zitaingia robo fainali ina maana Yanga itafuna point 3 huku Simba kwavile yupo kwenye mashindano madogo itavuna point 2 na kufanya Yanga wapate point 15 huku Simba wakipata point 10

Hivyo kwa Yanga itakuwa ni 24+15= jumla point 39
Huku Simba itakuwa ni 28+10= jumla point 38
Kazi wanayo Simba wazee wa kutambia rank sijui watabakia na nini endapo Yanga ikifuzu leo.
 
Issue ipo hiviiii


simba ana point 28. Yanga ana point 24. Yanga akiingia makundi kesho anapata point 10 jumla anakua na 34. Simba akifuzu na yeye kombe la looser ( wamama) anapata point 2.5 so anakua na point 30.5 so yanga anakua juu ya simba
Hao Simba luwala inatakiwa hata makundi wasiingie.
 
Niweke kwenye kumbukumbu hili swala muhimu.

Simba ndio timu ya kwanza kuwa katika Port 1
Katika mashindano ya CAF.

Nawasilisha
 
Niweke kwenye kumbukumbu hili swala muhimu.

Simba ndio timu ya kwanza kuwa katika Port 1
Katika mashindano ya CAF.

Nawasilisha
Haina umuhimu



Muhimu ni Simba afike final kama yanga
 
Back
Top Bottom