Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnamwonea bure kwani Mzee Magoma alisemaje.Kama hujui kitu nyamaza we nanga ,nani alikwambia kuingia makundi ccl ni point 10
Acha uongoIssue ipo hiviiii
simba ana point 28. Yanga ana point 24. Yanga akiingia makundi kesho anapata point 10 jumla anakua na 34. Simba akifuzu na yeye kombe la looser ( wamama) anapata point 2.5 so anakua na point 30.5 so yanga anakua juu ya simba
uongo mtupu kam vipi atuletee takwimu hapa ,simba ana point 28???😂😂😇😇😇Naanza kuamini wenye akili ni mtu 2 tuHizo hesabu ninamashaka nazo
Siyo 39 kwa 31 tena.
Kombe la looser ndio limewapa pointUnateseka ukiwa wapi?
Vichaka vyote mlivyokuwa mnavitumia kujifichia vinavyekwa;
1. Mlisema kombe la luzaaaaa... Leo mpo wapi?
2. Mlisema nyie ni wa kimataifa, leo hadi coast na Azam nao ni wa kimataifa.
3. Na sasa kichaka cha rank kipo mbioni kufyekwa
NB: Kipimo cha kombe la luzaa kwa taifa hili la Tanzania ni kufika fainali. Kesho tutawaona..!!
Kazi wanayo Simba wazee wa kutambia rank sijui watabakia na nini endapo Yanga ikifuzu leo.Kwasasa Simba ina point 28 huku Yanga ikiwa na point 24, point zimepungua kwasababu tayari mashindano mapya yameshaanza ya msimu wa 2024/2025 hivyo ranking inafanyika kwa kuchukua misimu minne nyuma huku zile vizidishio ( coefficient) zikiwa zimebadilika.
1) 2024/2025 ( coefficient ni 5) point ni 0 kwa timu zote zinazoshiriki mashindano kwavile hatua ya makundi hayajaisha bado.
2) 2023/2024 (coefficient ni 4) Simba ina point 3 na Yanga point 3 hapa wote wana point 12
3) 2022/2023 (coefficient ni 3) Simba ina point 3 huku Yanga ikiwa na point 4 hivyo Simba inakuwa na point 9 huku Yanga ikiwa na point 12
4) 2021/2022 (coefficient ni 2) Simba ina point 2 huku Yanga ikiwa na point 0 hivyo Simba wanakuwa na point 4 huku upande wa Yanga haina point.
5)2020/2021 (coefficients ni 1) Simba ina point 3 huku Yanga wakiwa hawana point.
Ukihesabu jumla ya point za Simba hadi sasa inakuwa 12+9+4+3= 28
Ukihesabu jumla ya point za Yanga hadi sasa ni 12+12=24
Kama timu zote mbili zitaingia robo fainali ina maana Yanga itafuna point 3 huku Simba kwavile yupo kwenye mashindano madogo itavuna point 2 na kufanya Yanga wapate point 15 huku Simba wakipata point 10
Hivyo kwa Yanga itakuwa ni 24+15= jumla point 39
Huku Simba itakuwa ni 28+10= jumla point 38
Hao Simba luwala inatakiwa hata makundi wasiingie.Issue ipo hiviiii
simba ana point 28. Yanga ana point 24. Yanga akiingia makundi kesho anapata point 10 jumla anakua na 34. Simba akifuzu na yeye kombe la looser ( wamama) anapata point 2.5 so anakua na point 30.5 so yanga anakua juu ya simba