Rozela
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 845
- 2,235
Timu ya soka ya Yanga yenye makao yake eneo la Twiga na Jangwani inatarajia kushuka dimbani siku ya jumamosi dhidi ya kibonde wake wa muda wote Simba Sports Club.
Timu ya simba ndiyo inayo ongoza kufungwa na Yanga na hivi karibuni imepokea vipigo 4 mfululizo kwenye mechi 4 zamwisho.
Endapo Yanga haitacheza kwa huruma mechi hiyo, kuna uwezekano mkubwa wa kuibuka kwa mgogoro mkubwa utakaopelekea mzee Mangungu kurejea kikaangoni.