Yanga kukipiga na Kibonde wake Jumamosi hii

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Timu ya soka ya Yanga yenye makao yake eneo la Twiga na Jangwani inatarajia kushuka dimbani siku ya jumamosi dhidi ya kibonde wake wa muda wote Simba Sports Club.

Timu ya simba ndiyo inayo ongoza kufungwa na Yanga na hivi karibuni imepokea vipigo 4 mfululizo kwenye mechi 4 zamwisho.

Endapo Yanga haitacheza kwa huruma mechi hiyo, kuna uwezekano mkubwa wa kuibuka kwa mgogoro mkubwa utakaopelekea mzee Mangungu kurejea kikaangoni.
 
Sawa bloangu,tuombe uzima tushuhudie hili
 
Mnyama anachinjwa kwaajili ya sikukuu ya Eid
 
Uto naona kafara lao leo la kwenda kwa wenye shida maalum na yatima limefanyika..siku zote hufanya hivyo kabla ya derby.

Pangani FC.
 
Hii ni derby ya upande mmoja na imeanza kuzoeleka, tutarajie makolo kukimbia uwanjani by just half time!! Naiona hat trick ya Dube!!
Wakicheza kwa Dk 90 wanakula 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…