OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Yanga wakimuaga daktari wa timu wiki iliyopita.
Kambole amekuwa akifungiwa ndani huko Avic Town Kigamboni ili kuficha aibu ya siasa za usajili.
Huyu ni mchezaji aliyetajwa kuachwa na Yanga baada ya idadi ya wachezaji wa kigeni kuzidi kufuatia usajili wa Kisinda.
TFF ilihalalisha kucheza kwa Kisinda Yanga ikiwa ni uamuzi wa kamati ya Sheria na hadhi za wachezaji ya TFF.
Tuliambiwa hilo lilitimia baada ya kumpeleka kwa mkopo Kambole katika timu ya Wakiso Giants nchini Uganda na ITC yake ilitumwa huko na sio Yanga tena.
Kumbe haikuwa kweli mchezaji huyo amefichwa kambini ili asionekane hadharani kukwepa aibu.
Mficho huu huwezi kuukuta media kwa sababu wachambuzi wote wamepewa maelekezo sambamba na kitu kidogo ili kunyamazishwa. Kama Simba Sc ingekuwa imefanya tukio la hovyo kama hili dunia ingesimama kwa makombora kwa Barbra.
Nawataka Yanga wamuache Kambole awe huru kuchangamana akisubiri hatma yake badala ya kumficha ndani kama msukule