Yanga kumficha ndani Kambole kama 'msukule' siyo sawa!

Yanga kumficha ndani Kambole kama 'msukule' siyo sawa!

Mkuu hebu tafuta content za msingi walau za kujenga soka letu we kila siku ni kuongelea majungu , umbea umbea tu.

Kama una taarifa sahihi nenda nazo TFF pale kafwatilie utapata ufafanuzi haya maswala ya kila siku kulalamika kwanza unajishushia uweledi.
 
Mkeka mreeefu,lakini nje ya mada. Haya rudi kwenye mada sasa
Sijaona mada yoyote hapo... sana sana ni viroja tu vya ki-Makolo!!

Kwamba wanamficha kuogopa aibu... aibu hiyo anaonewa nani?! TFF, CAF, au Makolo?!

Kama ni kuinea aibu TFF au CAF au wote kwa pamoja, ni nani anatakiwa kuona aibu kama sio hao waliohidhinisha wakati ni fake?!

Kwamba eti Media zimehongwa ili kuficha, c'mon man... this's cheap propaganda!!

Hivi CAF na TFF wanaangalia uwepo wa mtu mitaani kuthibitisha kama amesajiriwa au hapana, au wanaangalia documents?!
 
Umetazama kwa jicho la Utopolo, huwezi ona
 
Umetazama kwa jicho la Utopolo, huwezi ona
Sawa, siwezi kuona... nijibu basi hayo maswali niliyokuuliza!!

Mosi:-
Kwamba wanamficha kuogopa aibu... aibu hiyo anaonewa nani?! TFF, CAF, au Makolo?!
Pili,
Kama ni kuinea aibu TFF au CAF au wote kwa pamoja, ni nani anatakiwa kuona aibu kama sio hao waliohidhinisha wakati ni fake?!
Tatu:-
Hivi CAF na TFF wanaangalia uwepo wa mtu mitaani kuthibitisha kama amesajiliwa au hapana, au wanaangalia documents?!
KARIBU...
 
Habari zako zote ni uongo. Umepoteza credibility hapa jukwaani. Ulianza na Djuma Shaban hawezi kutua Yanga, mara Aziz Ki kanyakuliwa na Simba, ukaja na suala la Nabi, bado unataka uendelee kuaminiwa?
msukule mwingine huu hapa, hujaona hata picha???
 
kwa ufupi hapo utopoloni kumejaa misukuleeee kibaooooo
 
View attachment 2398171
Hili sio personal matter, ni public. Bora wewe hujakataa kwamba kafichwa
Natamani sana kujua shida yako hasa ni ipi! Unamdai! Maana huna maslahi yoyote yale na huyo Kambole! Wamfiche, wasimfiche! Shida yako ni nini hasa?

Halafu si uko karibu na Moo wewe! Ukiulizwa kuhusu mchanganuo wa zile bilioni 20 unaweza kutolea maelezo? Au na wewe utaishia tu kutukana kama wale wenzako?
 
View attachment 2398063
View attachment 2398000
Yanga wakimuaga daktari wa timu wiki iliyopita.

Kambole amekuwa akifungiwa ndani huko Avic Town Kigamboni ili kuficha aibu ya siasa za usajili.
Huyu ni mchezaji aliyetajwa kuachwa na Yanga baada ya idadi ya wachezaji wa kigeni kuzidi kufuatia usajili wa Kisinda.

TFF ilihalalisha kucheza kwa Kisinda Yanga ikiwa ni uamuzi wa kamati ya Sheria na hadhi za wachezaji ya TFF.

Tuliambiwa hilo lilitimia baada ya kumpeleka kwa mkopo Kambole katika timu ya Wakiso Giants nchini Uganda na ITC yake ilitumwa huko na sio Yanga tena.

Kumbe haikuwa kweli mchezaji huyo amefichwa kambini ili asionekane hadharani kukwepa aibu.

Mficho huu huwezi kuukuta media kwa sababu wachambuzi wote wamepewa maelekezo sambamba na kitu kidogo ili kunyamazishwa. Kama Simba Sc ingekuwa imefanya tukio la hovyo kama hili dunia ingesimama kwa makombora kwa Barbra.

Nawataka Yanga wamuache Kambole awe huru kuchangamana akisubiri hatma yake badala ya kumficha ndani kama msukule
Alama ya Kwanza ya mnafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli huwa unauma Sana mtoa Mada atashambuliwa Sana na utopolo
 
Luc eymael hakukosea kuwaita manyani mambwa mnabweka bweka hivyo yaani mleta mada kaleta topic nzuri tu ya kudiscus ujinga wa viongozi wenu mnakuja kumtusi humu
Rage ndo alimaliza kila kitu
 
Kama hyo picha sio yeye mkanushe sio yeye ili tujue maana wengine hatumjui huyo kambole,la sivyo msiwe wepesi kushadadia ya Simba kumbe na nyie mna madhaifu yenu. Sipati picha ingekua ni simba yule Ashura cheupe pasingetosha angeenda mpk CAF kushtaki.
 
Jibuni hoja ni sio attacks..mpk sasa mleta mada ana ongoza kwa hatrick hahaa yani mngesema sio yy au yupo kwa sbb moja mbili tatu...ila naona mnamvaa mleta thread vibaya mno inadhihirisha kuna shida kweli.
 
Back
Top Bottom