stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
Yanga kumsajili selemani mwalimu nani alaumiwe?
Hhhhh sele 20yrs! Kama haendi 28 ukoBiashara mbovu hiyo Yanga tutasema kapata kama jamaa atasaidia timu,ila waliopata zaidi ni Wydad. Hela yote hiyo kwa mkopo. Simba tuliona ikizidi sana watawapa Wydad 50,000 usd. Yanga wametoa 200,000 usd tena kwa mkopo wa mwaka mmoja.
Kocha hakuwa anamtumia sana, ha fit mipango yake na aina ya mpira anaoutaka. Labda faida nyingine kwa kuwa ana umri mdogo MIAKA 20 😀 😀 😎 Wydad wanahisi huenda akaja kuwa keki wakawauzia Al Ahly Bilioni kumi.
Kama miaka 20 yuko vile, sijui 25 atakuwaje
Wapi yanga wamesema wametoa dollar 200,000Biashara mbovu hiyo Yanga tutasema kapata kama jamaa atasaidia timu,ila waliopata zaidi ni Wydad. Hela yote hiyo kwa mkopo. Simba tuliona ikizidi sana watawapa Wydad 50,000 usd. Yanga wametoa 200,000 usd tena kwa mkopo wa mwaka mmoja.