NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
Hiyo ni mipango ya dirisha kubwaHakuna Dirisha la usajili kwa sasa, Umeleta habari ambayo ingefaa kuandikwa miezi 4 ijayo.
Kwasasa inakosa Hiyo ni mipango ya dirisha kubwa
Mchezaji anasaini mkataba wa awali muda wowote ule ila kusajiliwa ndio mpaka dirisha lifunguliwe refer to mpanzu alikubaliana na simba maslahi binafsi akasaini na mkataba ila akaja kusajiliwa dirisha lilipofunguliwa.Hakuna Dirisha la usajili kwa sasa, Umeleta habari ambayo ingefaa kuandikwa miezi 4 ijayo.
Kwasasa inakosa mashiko.
kumbe haikuwa kweli?Huyo dogo alikuwa kipa mzuri sana ila career yake iliharibiwa na siasa za simba na yanga kwa kusingiziwa skendo ya ushoga...tena kwa hili mashabiki wa simba ndio wanastahili lawama
Haikuwa kweli mkuu ...tena huyo jamaa aliezusha alikuwa ameshtakiwa mahakamani sijui kesi ilifikia wapikumbe haikuwa kweli?
Huu upumbavu wenu ndio ulifanya kabwili apotee uwanjani ...Yanga wanapenda sana mashoga;
Kabwili
Privadinyo
dah!, inasikitisha sana, kuutweza utu wa mwenzako kwa sababu zisizoeleweka, pumbavu kabisa laana juu yaoHaikuwa kweli mkuu ...tena huyo jamaa aliezusha alikuwa ameshtakiwa mahakamani sijui kesi ilifikia wapi
Mkuu Priva ni gaSho?Yanga wanapenda sana mashoga;
Kabwili
Privadinyo
Ndio siasa za simba na yanga hizo! Si uliona walichomfanyia chasambi iv karibuni?dah!, inasikitisha sana, kuutweza utu wa mwenzako kwa sababu zisizoeleweka, pumbavu kabisa laana juu yao
sawa ni kawaida ila sio kwa ile kashfa aliyopewa dogo kabwiliNdio siasa za simba na yanga hizo! Si uliona walichomfanyia chasambi iv karibuni?
Ndio, na dogo mmoja white hivi yupo kwenye kitengo cha habari cha yanga huyo dogo video zimeshawahi vuja akiliwaMkuu Priva ni gaSho?
Ile kashfa ilishikiwa bango na watu wa simba kwa kujua wanaikomoa yanga bila kujua walikuwa wanaangamiza kipaji cha dogosawa ni kawaida ila sio kwa ile kashfa aliyopewa dogo kabwili
Kabwili alikiri mwenyewe kujihusisha na vitendo vya ushogaHuu upumbavu wenu ndio ulifanya kabwili apotee uwanjani ...
Ushoga? Aisee. Too bad.Huyo dogo alikuwa kipa mzuri sana ila career yake iliharibiwa na siasa za simba na yanga kwa kusingiziwa skendo ya ushoga...tena kwa hili mashabiki wa simba ndio wanastahili lawama
Inasikitisha sanaHuyo dogo alikuwa kipa mzuri sana ila career yake iliharibiwa na siasa za simba na yanga kwa kusingiziwa skendo ya ushoga...tena kwa hili mashabiki wa simba ndio wanastahili lawama
Siasa za Simba na Yanga za kipuuzi sana.Ile kashfa ilishikiwa bango na watu wa simba kwa kujua wanaikomoa yanga bila kujua walikuwa wanaangamiza kipaji cha dogo