NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
Ramadhani Kabwili golikipa wa zamani wa Yanga anahusishwa kurudi tena katika klabu hiyo baada ya kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi.
Lengo hasa la kumrudisha Kabwili ni kumpa changamoto zaidi golikipa namba moja Diara ambae siku za karibuni imeonekana umakini wake umepungua sana na kupelekea kufungwa magoli rahisi mno.
Kifupi ishu nzima ya maslahi binafsi ya mchezaji huyo imekubaliwa na viongozi hao.