Tetesi: Yanga kumsajili tena golikipa wao pendwa Ramadhani Kabwili

Tetesi: Yanga kumsajili tena golikipa wao pendwa Ramadhani Kabwili

NgerukeAbra

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2022
Posts
1,336
Reaction score
2,008
Ramadhani Kabwili golikipa wa zamani wa Yanga anahusishwa kurudi tena katika klabu hiyo baada ya kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi.

Lengo hasa la kumrudisha Kabwili ni kumpa changamoto zaidi golikipa namba moja Diara ambae siku za karibuni imeonekana umakini wake umepungua sana na kupelekea kufungwa magoli rahisi mno.

Kifupi ishu nzima ya maslahi binafsi ya mchezaji huyo imekubaliwa na viongozi hao.
 
Hakuna Dirisha la usajili kwa sasa, Umeleta habari ambayo ingefaa kuandikwa miezi 4 ijayo.
Kwasasa inakosa mashiko.
Mchezaji anasaini mkataba wa awali muda wowote ule ila kusajiliwa ndio mpaka dirisha lifunguliwe refer to mpanzu alikubaliana na simba maslahi binafsi akasaini na mkataba ila akaja kusajiliwa dirisha lilipofunguliwa.

Hakuna shabiki wa yanga anayejua mpira.
 
Huyo dogo alikuwa kipa mzuri sana ila career yake iliharibiwa na siasa za simba na yanga kwa kusingiziwa skendo ya ushoga...tena kwa hili mashabiki wa simba ndio wanastahili lawama
kumbe haikuwa kweli?
 
Haikuwa kweli mkuu ...tena huyo jamaa aliezusha alikuwa ameshtakiwa mahakamani sijui kesi ilifikia wapi
dah!, inasikitisha sana, kuutweza utu wa mwenzako kwa sababu zisizoeleweka, pumbavu kabisa laana juu yao
 
dah!, inasikitisha sana, kuutweza utu wa mwenzako kwa sababu zisizoeleweka, pumbavu kabisa laana juu yao
Ndio siasa za simba na yanga hizo! Si uliona walichomfanyia chasambi iv karibuni?
 
Huyo dogo alikuwa kipa mzuri sana ila career yake iliharibiwa na siasa za simba na yanga kwa kusingiziwa skendo ya ushoga...tena kwa hili mashabiki wa simba ndio wanastahili lawama
Ushoga? Aisee. Too bad.
 
Huyo dogo alikuwa kipa mzuri sana ila career yake iliharibiwa na siasa za simba na yanga kwa kusingiziwa skendo ya ushoga...tena kwa hili mashabiki wa simba ndio wanastahili lawama
Inasikitisha sana
 
Ile kashfa ilishikiwa bango na watu wa simba kwa kujua wanaikomoa yanga bila kujua walikuwa wanaangamiza kipaji cha dogo
Siasa za Simba na Yanga za kipuuzi sana.
 
Back
Top Bottom