Hhhhshshshhahaha umemkomoa,Usiwasahau Gadiel, Ajib na Kakolanya
NakaziaUsiwasahau Gadiel, Ajib na Kakolanya
Shaban nonda wa zamani hivyo ndiyo unamtumia leo?Unamjua Shaban Nonda wewe?
Umewasahau Deo Kanda,Gyan,Kwasi,Hawa wachezaji wakimataifa walikuwa first eleven pale jangwani,wakaachana tukajua wanaenda kukiwasha real madrid kufumba na kufumbua eti wapo kitayosce sijui DTB sijui Namungo,labda Amis Tambwe nitamuelewa kwa umri wake wa miaka 45,the rest ni kalaana flani hivi,yanga tupunguze uchawi kwa wachezaji tunaowacha
Deo Kanda,Gyan,Asante KwasiHao sio wakimataifa naongelea wakimataifa,pili wanachezea timu ya 14 kwa ubora Africa so mkeka wao umetiki
Usiwasahau Gadiel, Ajib na Kakolanya
KoteiHao sio wakimataifa naongelea wakimataifa,pili wanachezea timu ya 14 kwa ubora Africa so mkeka wao umetiki
Deo kanda yupo Mtibwa sugar,Gyan yupo singida huko na Kwasi hats ajulikani yupo wapi kama amekufa au ni mzimaKuna anayechezea kitayose hapo