Yanga kuna laana, Moringa yupo Namungo, Tshisimbi yupo Kitayose, Amis Tambwe yupo Singida united, Chirwa yupo ...

Yanga kuna laana, Moringa yupo Namungo, Tshisimbi yupo Kitayose, Amis Tambwe yupo Singida united, Chirwa yupo ...

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Hawa wachezaji wa kimataifa walikuwa first eleven pale Jangwani, wakaachana tukajua wanaenda kukiwasha Real Madrid kufumba na kufumbua eti wapo Kitayosce sijui DTB sijui Namungo.

Labda Amis Tambwe nitamuelewa kwa umri wake wa miaka 45, the rest ni kalaana fulani hivi, Yanga tupunguze uchawi kwa wachezaji tunaowacha
 
Gian, Deo Kanda, James Kotei wako wapi!!
 
Hawa wachezaji wakimataifa walikuwa first eleven pale jangwani,wakaachana tukajua wanaenda kukiwasha real madrid kufumba na kufumbua eti wapo kitayosce sijui DTB sijui Namungo,labda Amis Tambwe nitamuelewa kwa umri wake wa miaka 45,the rest ni kalaana flani hivi,yanga tupunguze uchawi kwa wachezaji tunaowacha
Umewasahau Deo Kanda,Gyan,Kwasi,
 
Add Mkoko Tonombe and Tuisila kisinda....
 
Back
Top Bottom