Na wewe utuambie Junior Lokossa, Chikwende, Duncan Nyoni, Dan Serunkuma, na Shiboub wako wapi?Hawa wachezaji wakimataifa walikuwa first eleven pale jangwani,wakaachana tukajua wanaenda kukiwasha real madrid kufumba na kufumbua eti wapo kitayosce sijui DTB sijui Namungo,labda Amis Tambwe nitamuelewa kwa umri wake wa miaka 45,the rest ni kalaana flani hivi,yanga tupunguze uchawi kwa wachezaji tunaowacha
Makambo inachosubiriwa ni mkataba tu uishe maana kuuvunja ni ngumu kwa Yanga, yaani anavuta mpunga wa maana kuliko Mayele 😁Next watakuwa makambo na mayele
SII kweli wewe utakuwa Thimbaa🏃Hawa wachezaji wakimataifa walikuwa first eleven pale jangwani,wakaachana tukajua wanaenda kukiwasha real madrid kufumba na kufumbua eti wapo kitayosce sijui DTB sijui Namungo,labda Amis Tambwe nitamuelewa kwa umri wake wa miaka 45,the rest ni kalaana flani hivi,yanga tupunguze uchawi kwa wachezaji tunaowacha
😂Makambo huyo ni kama tayari
Kbs yanMakambo inachosubiriwa ni mkataba tu uishe maana kuuvunja ni ngumu kwa Yanga, yaani anavuta mpunga wa maana kuliko Mayele 😁
Eti ni mzima au amekufa nimecheka saaaaaanaDeo kanda yupo Mtibwa sugar,Gyan yupo singida huko na Kwasi hats ajulikani yupo wapi kama amekufa au ni mzima
Wewe unatafuta ubishi fu kitayose ni team nayo?Hivi unaijua kitayose wewe
Hizi ni huwa tuna akili za kuvukia barabara tu mzeeEti ni mzima au amekufa nimecheka saaaaaana
Usimsahau Dany Serunkuma.Hawa wachezaji wakimataifa walikuwa first eleven pale jangwani,wakaachana tukajua wanaenda kukiwasha real madrid kufumba na kufumbua eti wapo kitayosce sijui DTB sijui Namungo.
Labda Amis Tambwe nitamuelewa kwa umri wake wa miaka 45, the rest ni kalaana fulani hivi,yanga tupunguze uchawi kwa wachezaji tunaowacha