Yanga kuna laana, Moringa yupo Namungo, Tshisimbi yupo Kitayose, Amis Tambwe yupo Singida united, Chirwa yupo ...

Yanga kuna laana, Moringa yupo Namungo, Tshisimbi yupo Kitayose, Amis Tambwe yupo Singida united, Chirwa yupo ...

Hawa wachezaji wakimataifa walikuwa first eleven pale jangwani,wakaachana tukajua wanaenda kukiwasha real madrid kufumba na kufumbua eti wapo kitayosce sijui DTB sijui Namungo,labda Amis Tambwe nitamuelewa kwa umri wake wa miaka 45,the rest ni kalaana flani hivi,yanga tupunguze uchawi kwa wachezaji tunaowacha
Na wewe utuambie Junior Lokossa, Chikwende, Duncan Nyoni, Dan Serunkuma, na Shiboub wako wapi?
 
Hawa wachezaji wakimataifa walikuwa first eleven pale jangwani,wakaachana tukajua wanaenda kukiwasha real madrid kufumba na kufumbua eti wapo kitayosce sijui DTB sijui Namungo,labda Amis Tambwe nitamuelewa kwa umri wake wa miaka 45,the rest ni kalaana flani hivi,yanga tupunguze uchawi kwa wachezaji tunaowacha
SII kweli wewe utakuwa Thimbaa🏃
 
Gadiel Michael masikini aliondka yupo [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Haruna chanongo,Hassan Isiaka,said Ndemla, William Lucian..

Kwasi,Gyan,Mavugo..
 
Tuanzie hapa
Kotei yupo tdb
Gyan huko huko uchochoroni
Deo kanda yupo porini huko kitayose

Ajibu na wenzie kina ilamfya Gadiel,kisubi, wako wapi?angalau ajibu anasugua benchi azam haya.

Shiboub anacheza wapi sasa? Yule mbrazil fraga mpaka sasa hana team ..!

Vitu vingine havifai kuanzisha uzi ni vile ujeuri tu.
 
Hawa wachezaji wakimataifa walikuwa first eleven pale jangwani,wakaachana tukajua wanaenda kukiwasha real madrid kufumba na kufumbua eti wapo kitayosce sijui DTB sijui Namungo.

Labda Amis Tambwe nitamuelewa kwa umri wake wa miaka 45, the rest ni kalaana fulani hivi,yanga tupunguze uchawi kwa wachezaji tunaowacha
Usimsahau Dany Serunkuma.
 
Back
Top Bottom