Yanga kunani pale? Form ya timu yetu imeshuka sana

Yanga kunani pale? Form ya timu yetu imeshuka sana

Mdukuzii

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2022
Posts
2,552
Reaction score
6,422
Nashindwa kuelewa Yanga kunani? Form ya timu yetu imeshuka sana. Huku wenzetu wakizidi kupata kasi. Kocha Nabi sidhani kama ana shida, bali wachezaji mliosajili mmesajili kisiasa.

Aziz Ki ukiacha lile shuti lililotaka kumuua Manula ni wa kawaida sana, Bigirimana, Kisinda, Djuma Shabani wameshuka viwango sana, Mayele na Mwamnyeto wamekuwa wa kawaida mno.
 
Nashindwa kuelewa Yanga kunani?
Form ya timu yetu imeshuka sana.
Huku wenzetu wakizidi kugain momentum.

Kocha Nabi sidhani kama ana shida, bali wachezaji mliosajili mmesajili kisiasa.

Aziz ki ukiacha lile shuti lililotaka kumuua Manula ni wa kawaida sana, Bigirimana, Kisinda, Djuma Shabani ni wameshuka viwango sana, Mayele na Mwamnyeto wamekuwa wa kawaida mno.
Na wakina mozes phiri mnaowaimba kila siku mbona awakuonekana umewaona hao tu wa yanga
 
CHAMA MUNGU ANAKUONA. MSULULU KAMA NG'OMBE WA KIMASAI NA BADO MPIRA UMEPITA MIGUUNI MWAO HAPOHAPO. SASA HIZO SIFA CHAMA. USIBISHE ANGALIA ATA WEWE NYAMBILILE FC.
FB_IMG_1666670934899.jpg
 
Swala la wakongolee naona ni Nabi ndio kafanya hivyo, maanake jamaa hata kiingereza inakuwa ishu, huwa namsikia tu akishuka kifaransa. Hadi mkalimani wake mwenyewe mkongoleeee
Kumbe sasa wanashindwa nini kumuelewa
 
Na wakina mozes phiri mnaowaimba kila siku mbona awakuonekana umewaona hao tu wa yanga
Simba Phiri gemu ilimkataa,ila Kibu na Sako nao hawana consistency
Tukubali kukosolewa
Mechi ya juzi tuliminya pummbu sana ili tusifungwe,hii sio sawa
 
Nashindwa kuelewa Yanga kunani?
Form ya timu yetu imeshuka sana.
Huku wenzetu wakizidi kugain momentum.

Kocha Nabi sidhani kama ana shida, bali wachezaji mliosajili mmesajili kisiasa.

Aziz ki ukiacha lile shuti lililotaka kumuua Manula ni wa kawaida sana, Bigirimana, Kisinda, Djuma Shabani ni wameshuka viwango sana, Mayele na Mwamnyeto wamekuwa wa kawaida mno.
Ngoja wale hamnazo waanze kukupopoa
 
Weeee mwenyewe unaonaga kule kwa inonga akiamuaga kujipoteza ufahamu ni dakika mbekse.
Yaano inogo juzi alikuwa anafanya jazi moja tu kukaba ila pass acuracy ilikuwa chini mno,pasi zake nyingi zilipotea,nadhani alivuta cha arusha kabla ya mechi
 
Nashindwa kuelewa Yanga kunani?
Form ya timu yetu imeshuka sana.
Huku wenzetu wakizidi kugain momentum.

Kocha Nabi sidhani kama ana shida, bali wachezaji mliosajili mmesajili kisiasa.

Aziz ki ukiacha lile shuti lililotaka kumuua Manula ni wa kawaida sana, Bigirimana, Kisinda, Djuma Shabani ni wameshuka viwango sana, Mayele na Mwamnyeto wamekuwa wa kawaida mno.
Ingia uwanjani ukacheze wewe
 
Hata timu kubwa dunia kuliko Yanga kuna wakati zinapitia changamoto za aina hiyo. Hivyo binafsi sioni kama kuna jipya.

Azam Fc yenyewe na kikosi chake bora kabisa msimu huu, imefungwa mechi mbili mfululizo za Ligi kuu! Sasa Yanga kutoa sare na mpinzani wake wa jadi, shida iko wapi!
 
Azam itoe humo,ile sio timu pumbavu zao.
Kuhusu yanga hatuongelei matokeo bali performance nzima ya timu
 
Back
Top Bottom