Hahaha[emoji23]Fungueni bendi ya mziki maana mna wakongo wa kutosha pale ....mpira umewashinda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wakina mozes phiri mnaowaimba kila siku mbona awakuonekana umewaona hao tu wa yangaNashindwa kuelewa Yanga kunani?
Form ya timu yetu imeshuka sana.
Huku wenzetu wakizidi kugain momentum.
Kocha Nabi sidhani kama ana shida, bali wachezaji mliosajili mmesajili kisiasa.
Aziz ki ukiacha lile shuti lililotaka kumuua Manula ni wa kawaida sana, Bigirimana, Kisinda, Djuma Shabani ni wameshuka viwango sana, Mayele na Mwamnyeto wamekuwa wa kawaida mno.
Kumbe sasa wanashindwa nini kumuelewaSwala la wakongolee naona ni Nabi ndio kafanya hivyo, maanake jamaa hata kiingereza inakuwa ishu, huwa namsikia tu akishuka kifaransa. Hadi mkalimani wake mwenyewe mkongoleeee
Simba Phiri gemu ilimkataa,ila Kibu na Sako nao hawana consistencyNa wakina mozes phiri mnaowaimba kila siku mbona awakuonekana umewaona hao tu wa yanga
Ukiacha huo mshuti,makolo waliishika gameMakolo huyu nyanda wenu hajaachia samadi kweli kwa huu mkombora
Ngoja wale hamnazo waanze kukupopoaNashindwa kuelewa Yanga kunani?
Form ya timu yetu imeshuka sana.
Huku wenzetu wakizidi kugain momentum.
Kocha Nabi sidhani kama ana shida, bali wachezaji mliosajili mmesajili kisiasa.
Aziz ki ukiacha lile shuti lililotaka kumuua Manula ni wa kawaida sana, Bigirimana, Kisinda, Djuma Shabani ni wameshuka viwango sana, Mayele na Mwamnyeto wamekuwa wa kawaida mno.
Hamnazo mwenzako huyo ujueNa wakina mozes phiri mnaowaimba kila siku mbona awakuonekana umewaona hao tu wa yanga
Weeee mwenyewe unaonaga kule kwa inonga akiamuaga kujipoteza ufahamu ni dakika mbekse.Kumbe sasa wanashindwa nini kumuelewa
Yaano inogo juzi alikuwa anafanya jazi moja tu kukaba ila pass acuracy ilikuwa chini mno,pasi zake nyingi zilipotea,nadhani alivuta cha arusha kabla ya mechiWeeee mwenyewe unaonaga kule kwa inonga akiamuaga kujipoteza ufahamu ni dakika mbekse.
πππππππππFungueni bendi ya mziki maana mna wakongo wa kutosha pale ....mpira umewashinda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ingia uwanjani ukacheze weweNashindwa kuelewa Yanga kunani?
Form ya timu yetu imeshuka sana.
Huku wenzetu wakizidi kugain momentum.
Kocha Nabi sidhani kama ana shida, bali wachezaji mliosajili mmesajili kisiasa.
Aziz ki ukiacha lile shuti lililotaka kumuua Manula ni wa kawaida sana, Bigirimana, Kisinda, Djuma Shabani ni wameshuka viwango sana, Mayele na Mwamnyeto wamekuwa wa kawaida mno.
Azam itoe humo,ile sio timu pumbavu zao.Hata timu kubwa dunia kuliko Yanga kuna wakati zinapitia changamoto za aina hiyo. Hivyo binafsi sioni kama kuna jipya.
Azam Fc yenyewe na kikosi chake bora kabisa msimu huu, imefungwa mechi mbili mfululizo za Ligi kuu! Sasa Yanga kutoa sare na mpinzani wake wa jadi, shida iko wapi!