Yanga kunani pale? Form ya timu yetu imeshuka sana

Azam itoe humo,ile sio timu pumbavu zao.
Kuhusu yanga hatuongelei matokeo bali performance nzima ya timu
Nadhani hili tatizo hutokea pale timu inapokaa mda mrefu na wachezaji kutumika sana na ndo maana ukiangalia unaona wachezaji wengi wanafanya makosa.

Naamini katikati ya ligi timu itarudi katika form yake Cha kushukuru ni kua timu bado inaendelea kupata matokeo.

Naona tatizo kama hili hata timu nyingi za ulaya huwatokea pia.
 
Ki aziz muache kabisa!
Shida yetu ni makosa ya kujirudia ya safu ya ulinzi,
Poor marking....mechi ya nne tunafungwa kwa uzemve wa beki

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Liverpool nayo imo kwenye hiyo list
 
Makolo huyu nyanda wenu hajaachia samadi kweli kwa huu mkombora
Huyu mstaribwa nnya ulichanika kabisa kuthubitisha nyie ni vinyesi fc kama asemavyo semaji lenu la zaman
 

Attachments

  • 841C8BDE-FE20-425C-B9FC-B4B200963687.jpeg
    55.8 KB · Views: 2
Mnashindwa kuifunga team iliyo shuka form tuwasaidieje sasa?
 
Mbambamba.
 
Yaano inogo juzi alikuwa anafanya jazi moja tu kukaba ila pass acuracy ilikuwa chini mno,pasi zake nyingi zilipotea,nadhani alivuta cha arusha kabla ya mechi
🤣🤣🤣 ila alicheza kama beki asee...aendelee kuvuta tu.
 
nyie ni mbumbumbu+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…