Yanga kuokoteza makombo ya Simba ni Ushamba au Upashkuna wa Michezo?

Yanga kuokoteza makombo ya Simba ni Ushamba au Upashkuna wa Michezo?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,434
Reaction score
27,177
Klabu ya Yangu 10-8-2026 imemsajili mchezaji wa Simba ambaye hakuna na namba na ameshuka kiwango Sulemani Mwalimu, kwa milioni 150, Nyumba mikocheni na Subaru forester na mshahara wa milioni 15 kwa mwezi kma zilivyopenyezwa za ndani japo hazijadhibitishwa na chanzo huru.

Yanga inaonyesha vile ni klabu ya kawaida na haijui itakalo, inajiongoza kwa miemko na kukomoana , Simba ina utulivu na haina utoto kama "ndala mbili"

Yanga imekuwa ikokoteza wachezaji wanaoachwa n simba kama:-

  1. Zamoyoni Mogella
  2. Method Mogella
  3. Athumani Mambosasa
  4. Hamisi Gaga [1]
  5. Amri Kiemba
  6. Haruna Niyonzima
  7. Juma Kaseja
  8. Gadiel Michael.
  9. Augustine Okejepha
  10. Bernard Morrison:
  11. Chama Cletus .
  12. sulemani Mwalimu/ a.k.a Mangi wa Moshi

Picha ya kwanza Hassan Haffif Msomali akitambulishwa kwa Jakaya Kikwete- Waziri wa Mambo y a nje na mchezaji Zamoyoni mogela, captain wa Simba na timu yab Taifa.
1.jpg

1.jpeg
 
BTW hizi timu mbili hazijjawahi kuwa na mpira wowote wa maana ndani ya pitch zaidi ya uchawi, unafiki na kukomoana nje ya uwanja.

Hazipo kwa ajilii ya kucheza soka, zipo kwa ajili ya kutaniana na kukomoana kwahiyo hata usishangae
 
Ops I guess I was wrong then, I just had that impression from the way you chat😊,, ni umenyooka hata kweny nyuzi zetu za umbea wa kike sikuonagi kabisa
I like politics and social life. Umbea siyo sana kwakuwa sijijengi. Hata groups za watsup huku Mahakamani ninachat na wanaume kuliko wanawake. i like to know and explore more than talking sweeping news like mbwa wa wema, sijui mbimba ya wema ni feki, sijui zuchu ni kinganga, ooh Wasaniii waajichubua!
 
oooh sawa sisy nimekuelewa😻 nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wew ila siasa hapana😅

"nje ya mada nitakutafuta unipe connection ya kazi hata ya kufagia fagia au kazi yoyote ti je naruhusiwa?
 
oooh sawa sisy nimekuelewa😻 nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wew ila siasa hapana😅

"nje ya mada nitakutafuta unipe connection ya kazi hata ya kufagia fagia au kazi yoyote ti je naruhusiwa?
Karibu sana, . Siasa ndio maisha, pasi kujua siasa na haki zako zinachukuliwa ukiona.
 
Back
Top Bottom