Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Hii imekaa vyema ila Yanga ni wanyonge sana,Utani wa jadi wa timu hizi mbili ni wa kumkomoa mtani wako pale inapobidi, kwa kuwa Simba walitangaza kuwa naye msimu ujao, Yanga wamekuja ku overtake ili kumuumiza mtani wao Simba, kwa kuwa walishaonyesha kumuhitaji msimu unaokuja
am lady babyeti upashkuna😆😆,, wanaume sikuhizi mna maneno khaa
Kesho sasa ndo itajulikana mnyonge ni nani baada ya wote kuchezea vichapo kwenye zile sikukuu zaoHii imekaa vyema ila Yanga ni wanyonge sana,
mmmh am soreee dear siku zote najua hii I'd ya Me walah😪am lady baby
Nope, you mislead yourself. Though am aged.mmmh am soreee dear siku zote najua hii I'd ya Me walah😪
Kwamba Shalulile anaweza mfunga Simba?Kesho sasa ndo itajulikana mnyonge ni nani baada ya wote kuchezea vichapo kwenye zile sikukuu zao
Sijasema Yanga itaifunga Simba moja kwa moja, nimesema tu Kesho ndo tutajua yupi ni mbabe na yupi ni mnyonge ikizingatiwa wote kwenye sikukuu zao walichezea kichapoKwamba Shalulile anaweza mfunga Simba?
Umepotoka jombaa.
Ops I guess I was wrong then, I just had that impression from the way you chat😊,, ni umenyooka hata kweny nyuzi zetu za umbea wa kike sikuonagi kabisaNope, you mislead yourself. Though am aged.
I like politics and social life. Umbea siyo sana kwakuwa sijijengi. Hata groups za watsup huku Mahakamani ninachat na wanaume kuliko wanawake. i like to know and explore more than talking sweeping news like mbwa wa wema, sijui mbimba ya wema ni feki, sijui zuchu ni kinganga, ooh Wasaniii waajichubua!Ops I guess I was wrong then, I just had that impression from the way you chat😊,, ni umenyooka hata kweny nyuzi zetu za umbea wa kike sikuonagi kabisa
oooh sawa sisy nimekuelewa😻 nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wew ila siasa hapana😅I like politics and social life. Umbea siyo sana kwakuwa sijijengi. Hata groups za watsup huku Mahakamani ninachat na wanaume kuliko wanawake. i like to know and explore more than talking sweeping news like mbwa wa wema, sijui mbimba ya wema ni feki, sijui zuchu ni kinganga, ooh Wasaniii waajichubua!
Karibu sana, . Siasa ndio maisha, pasi kujua siasa na haki zako zinachukuliwa ukiona.oooh sawa sisy nimekuelewa😻 nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wew ila siasa hapana😅
"nje ya mada nitakutafuta unipe connection ya kazi hata ya kufagia fagia au kazi yoyote ti je naruhusiwa?