Yanga kuokoteza makombo ya Simba ni Ushamba au Upashkuna wa Michezo?

Mashabiki wapunbavu wajinga kama wewe ndio mnawafanya kina mangungu na mo kuendelea kuwaona wajinga.... Yaani mchezaji ambaye yupo kwenye mipango ya mwalim mpk mechi ya kesho unamuita salia?, kwa lipi?. Kwanza mwl hakawahi kuwa mchezaji WA Simba, alikuwa Simba kwa mkopo Simba hawajawahi kummiliki mwl km mchezaji wao.
Kwenye uwanja WA mapambano unaweza kumdoofisha mpizani wako kwa kutumia Kila mbinu.... Hili la mwl limetumika kuidhoofisha Simba sababu mwl alikuwa ndio straika tegemeo kuliko Doumbia....

Tatizo mashabiki wa simba akili zenu ziko matakoni....miaka ile kqenye uchaguzi mliletewa Manzoki 🤣🤣, mwaka huyu Simba day mmeletewa crip ya sele hahahaha matako yenu... Mnamsafirisha kutoka Morocco mpk Dar afu anatambulishwa JANGWANI🤪🤪.

Tutawapiga MITI sana
 
Kuna uongo mwingi hapa! Lini Augustine Okajepha alicheza Yanga? Niyonzima alitoka Yanga akaenda Simba halafu ndipo anarudi Yanga tena!
 
Mbona mleta mada una kumbukumbu fupi? Simba pia imechukua wachezaji wengi tu kutoka Yanga miaka ya nyuma hadi sasa. Mkifanya nyinyi ni utulivu, tukifanya Yanga ni ushamba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…