Amaizing Mimi
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 489
- 1,102
Nielewe mzee sijasema nimeumizwa.Wivu mbaya sana, kwaio wewe umeumizwa sana na Yanga kupanda nafasi 47??
Nasubiria draw ya robo fainali Kwa hamuHuu ni mwanzo tu wa rekodi nyingi zitakazowekwa na Yanga msimu huu. Ndani ya msimu mmoja tu wa mashindano ya CaF, timu imepanda viwango kwa zaidi ya nafasi 47, wakati kuna timu inayojiita ina mafanikio kimataifa yenyewe imeganda palepale kwa misimu karibu mitatu sasa.
Niwaambie tu mpaka kutamatika kwa michuano hii ya CaF msimu huu, Yanga itakuwa pale juu na miamba kama Al Ahly, Waydad na Mamelodi..
Povu ruksaa
Amka mzee utakojoa kitandani😀😀😀 standard zilishawekwa tayari ni miaka minne sasa utakuta timu ya Tanzania robo fainali.hiyo sio standard?halafu standard haziwekwi kwenye kombe la looser,Yanga ndio tunaenda kuset standard ya kabumbu la nchi hii, Achana na wale wazee wa kombe la robo fainali
Mwaka huu tunafuta rekodi zenu zenu kimataifaAngalia nafasi ya simba kabla ya kuingia makundi 2018 alikuwa nafasi ya ngapi?na alipanda hadi nafasi ya ngapi? Tatizo lenu mihemko imezidi.
Na ndio maana juzi mmejitoa ufahamu mnasema yanga ndio timu ya kwanza kwa timu za Tanzania kuongoza makundi.Mmesahau simba aliongoza kundi lililokuwa na bingwa mtetezi Al Ahly na Al Ahly huyohuyo ndie aliyebeba ubingwa msimu ule.
Nyie mmeongoza kundi ambalo mmeikuta mazembe ipo ICU😀😀😀
Ndiyo ukae Kwa kutulia sasaAmka mzee utakojoa kitandani😀😀😀 standard zilishawekwa tayari ni miaka minne sasa utakuta timu ya Tanzania robo fainali.hiyo sio standard?halafu standard haziwekwi kwenye kombe la looser,
Waangalie Berkane wapo wapi pamoja na kuchukua kombe la looser ?
Tunafuta rekodi moja baada ya nyingineMashabiki wa Yanga hawana tofauti na wa MUTD, imagine na wao wangeambia wanashiriki super cup, sijui ingekuaje.
Hivi mtoto kama alikuwa wa kwanza darasni term iliyopita, na akawa wa kwanza tena term hii, utamlaumu kwa kubaki pale pale? Asogee kwenda wapi? 🤣🤣🤣Huu ni mwanzo tu wa rekodi nyingi zitakazowekwa na Yanga msimu huu. Ndani ya msimu mmoja tu wa mashindano ya CaF, timu imepanda viwango kwa zaidi ya nafasi 47, wakati kuna timu inayojiita ina mafanikio kimataifa yenyewe imeganda palepale kwa misimu karibu mitatu sasa.
Niwaambie tu mpaka kutamatika kwa michuano hii ya CaF msimu huu, Yanga itakuwa pale juu na miamba kama Al Ahly, Waydad na Mamelodi..
Povu ruksaa
Hawaamini macho yaooooKupanda nafasi 47 si jambo dogo tena ndani ya Msimu mmoja ambao bado haujatamatika
Huwezi kufuta rekodi za simba mzee.Mwaka huu tunafuta rekodi zenu zenu kimataifa
Jiandae kisaikolojiaHivi mtoto kama alikuwa wa kwanza darasni term iliyopita, na akawa wa kwanza tena term hii, utamlaumu kwa kubaki pale pale? Asogee kwenda wapi? 🤣🤣🤣
Nukuu:
"Nasikitika kuwataarifu ndugu zangu Watanzania kua wenye akili Uto bado ni wale wale wawili." - Cvez, JF Member
Huko CL tunawakuta msimu ujaoHuwezi kufuta rekodi za simba mzee.
Simba amecheza nusu fainali klabu bingwa paka hapo kwako wewe ni ngumu kwa sababu ulishabanduliwa kwenye klabu bingwa.
Rekodi nyingine Simba kacheza fainali ya hilo kombe lako hilo.labda hapo unaweza kujitutumua ukafika nusu fainali. Wakati unajitutumua kufikia hizo simba mwaka huu anaongeza rekodi nyingine ya kucheza fainali😀😀😀
1. Sunday ManaraHivi mtoto kama alikuwa wa kwanza darasni term iliyopita, na akawa wa kwanza tena term hii, utamlaumu kwa kubaki pale pale? Asogee kwenda wapi? 🤣🤣🤣
Nukuu:
"Nasikitika kuwataarifu ndugu zangu Watanzania kua wenye akili Uto bado ni wale wale wawili." - Cvez, JF Member
AahahahahahBaada ya kuhangaika kwa muda mrefu hatimae mmepata pa kusemea, wewe utopolo hata mkichukua ubingwa usitegemee kama utafika hata tano bora.
Standard zilishawekwa miaka minne Kwa kuchukua kombe la robo fainali[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Amka mzee utakojoa kitandani[emoji3][emoji3][emoji3] standard zilishawekwa tayari ni miaka minne sasa utakuta timu ya Tanzania robo fainali.hiyo sio standard?halafu standard haziwekwi kwenye kombe la looser,
Waangalie Berkane wapo wapi pamoja na kuchukua kombe la looser ?
berkane bingwa mtetezi wa kombe la looser amefikaje hapo top ten?Hujui hata namna points zinavyopatikana..
Jiulize, pamoja na kuflop kwa Al Ahly kwa nini bado yeye ndiye namba moja kwa Afrika? Na itachukua miaka mingi yeye kushuka, kwa sababu alishajijengea points nyingi hapo awali. Unamuna Berkane? Hayupo katika mashindani yeyote ya Kimataifa msimu huu lakini still yupo top 10, kwa nini? Akili kichwani, siyo kule kulipo Mwiko..
Unashangaa Yanga kupanda kwa pupa? Sikiliza, mfano wote mkawa na alama moja. Msimu mwingine wewe ukawa na alama 4 maana yake utawapita wengi mliokuwa mnafanana.
Nakuambia hivi, hata mkishinda Ubingwa wa Kombe la Losers top 10 hamtaingia.
Kaka amka basi usingiziniHuko CL tunawakuta msimu ujao
Msimu huu tuchukue kwanza kombe la CC
Kachukua mara ngapi?mbona hafiki hata tano bora?berkane bingwa mtetezi wa kombe la looser amefikaje hapo top ten?
kujitoa akili inahitaji moyo