Yanga kupanda kutoka nafasi ya 75-28 ni rekodi ya Afrika

Yanga kupanda kutoka nafasi ya 75-28 ni rekodi ya Afrika

Wivu mbaya sana, kwaio wewe umeumizwa sana na Yanga kupanda nafasi 47??
Nielewe mzee sijasema nimeumizwa.
Nimemaanisha perfomance nzuri ndani ya msimu mmoja inaweza kukupeleka mbali zaidi.
Yaani kwa mfano yanga angebaki klabu bingwa na angechukua ubingwa angepanda mara dufu kwahio nafasi aliyokuwepo sio kigezo sana.
Mfano mdogo tu yanga alikuwa anashiriki mashindano ya kimataifa kwa miaka mingi sana, lakini namungo ndani ya msimu mmoja tu aliweza hadi kuipita yanga.
Mbona hukushangaa perfomance ya namungo from nowhere to somewhere?
 
Huu ni mwanzo tu wa rekodi nyingi zitakazowekwa na Yanga msimu huu. Ndani ya msimu mmoja tu wa mashindano ya CaF, timu imepanda viwango kwa zaidi ya nafasi 47, wakati kuna timu inayojiita ina mafanikio kimataifa yenyewe imeganda palepale kwa misimu karibu mitatu sasa.

Niwaambie tu mpaka kutamatika kwa michuano hii ya CaF msimu huu, Yanga itakuwa pale juu na miamba kama Al Ahly, Waydad na Mamelodi..

Povu ruksaa
Nasubiria draw ya robo fainali Kwa hamu

Sijui Yanga tunapangwa na nani!!?

Mwaka huu tunaenda kuvunja rekodi zote za Simba

Nasema zooote
 
kazeni tako walau mfike top 10

ndio utani wa jadi utaendelea kwa sasa watani zenu ni polisi
 
Yanga ndio tunaenda kuset standard ya kabumbu la nchi hii, Achana na wale wazee wa kombe la robo fainali
Amka mzee utakojoa kitandani😀😀😀 standard zilishawekwa tayari ni miaka minne sasa utakuta timu ya Tanzania robo fainali.hiyo sio standard?halafu standard haziwekwi kwenye kombe la looser,
Waangalie Berkane wapo wapi pamoja na kuchukua kombe la looser ?
 
Angalia nafasi ya simba kabla ya kuingia makundi 2018 alikuwa nafasi ya ngapi?na alipanda hadi nafasi ya ngapi? Tatizo lenu mihemko imezidi.

Na ndio maana juzi mmejitoa ufahamu mnasema yanga ndio timu ya kwanza kwa timu za Tanzania kuongoza makundi.Mmesahau simba aliongoza kundi lililokuwa na bingwa mtetezi Al Ahly na Al Ahly huyohuyo ndie aliyebeba ubingwa msimu ule.

Nyie mmeongoza kundi ambalo mmeikuta mazembe ipo ICU😀😀😀
Mwaka huu tunafuta rekodi zenu zenu kimataifa
 
Amka mzee utakojoa kitandani😀😀😀 standard zilishawekwa tayari ni miaka minne sasa utakuta timu ya Tanzania robo fainali.hiyo sio standard?halafu standard haziwekwi kwenye kombe la looser,
Waangalie Berkane wapo wapi pamoja na kuchukua kombe la looser ?
Ndiyo ukae Kwa kutulia sasa

Tunaanza huku kwenye kombe mnaloita la loser halafu mstimu ujao tunakuja huko kombe la winners
 
Mashabiki wa Yanga hawana tofauti na wa MUTD, imagine na wao wangeambia wanashiriki super cup, sijui ingekuaje.
Tunafuta rekodi moja baada ya nyingine

Tunaanzia huku chini msimu ujao tunakuja huko CL
 
Huu ni mwanzo tu wa rekodi nyingi zitakazowekwa na Yanga msimu huu. Ndani ya msimu mmoja tu wa mashindano ya CaF, timu imepanda viwango kwa zaidi ya nafasi 47, wakati kuna timu inayojiita ina mafanikio kimataifa yenyewe imeganda palepale kwa misimu karibu mitatu sasa.

Niwaambie tu mpaka kutamatika kwa michuano hii ya CaF msimu huu, Yanga itakuwa pale juu na miamba kama Al Ahly, Waydad na Mamelodi..

Povu ruksaa
Hivi mtoto kama alikuwa wa kwanza darasni term iliyopita, na akawa wa kwanza tena term hii, utamlaumu kwa kubaki pale pale? Asogee kwenda wapi? 🤣🤣🤣

Nukuu:
"Nasikitika kuwataarifu ndugu zangu Watanzania kua wenye akili Uto bado ni wale wale wawili." - Cvez, JF Member
 
Mwaka huu tunafuta rekodi zenu zenu kimataifa
Huwezi kufuta rekodi za simba mzee.
Simba amecheza nusu fainali klabu bingwa paka hapo kwako wewe ni ngumu kwa sababu ulishabanduliwa kwenye klabu bingwa.
Rekodi nyingine Simba kacheza fainali ya hilo kombe lako hilo.labda hapo unaweza kujitutumua ukafika nusu fainali. Wakati unajitutumua kufikia hizo simba mwaka huu anaongeza rekodi nyingine ya kucheza fainali😀😀😀
 
Hivi mtoto kama alikuwa wa kwanza darasni term iliyopita, na akawa wa kwanza tena term hii, utamlaumu kwa kubaki pale pale? Asogee kwenda wapi? 🤣🤣🤣

Nukuu:
"Nasikitika kuwataarifu ndugu zangu Watanzania kua wenye akili Uto bado ni wale wale wawili." - Cvez, JF Member
Jiandae kisaikolojia

Mwaka huu tunaenda kufuta rekodi zenu zooote

Kwanza tufuate za huku chini halafu msimu ujao tutawakuta huko CL
 
Huwezi kufuta rekodi za simba mzee.
Simba amecheza nusu fainali klabu bingwa paka hapo kwako wewe ni ngumu kwa sababu ulishabanduliwa kwenye klabu bingwa.
Rekodi nyingine Simba kacheza fainali ya hilo kombe lako hilo.labda hapo unaweza kujitutumua ukafika nusu fainali. Wakati unajitutumua kufikia hizo simba mwaka huu anaongeza rekodi nyingine ya kucheza fainali😀😀😀
Huko CL tunawakuta msimu ujao

Msimu huu tuchukue kwanza kombe la CC
 
Hivi mtoto kama alikuwa wa kwanza darasni term iliyopita, na akawa wa kwanza tena term hii, utamlaumu kwa kubaki pale pale? Asogee kwenda wapi? 🤣🤣🤣

Nukuu:
"Nasikitika kuwataarifu ndugu zangu Watanzania kua wenye akili Uto bado ni wale wale wawili." - Cvez, JF Member
1. Sunday Manara
2.Jakaya Mrisho Kikwete
Wengine woooooote😀😀😀
 
Amka mzee utakojoa kitandani[emoji3][emoji3][emoji3] standard zilishawekwa tayari ni miaka minne sasa utakuta timu ya Tanzania robo fainali.hiyo sio standard?halafu standard haziwekwi kwenye kombe la looser,
Waangalie Berkane wapo wapi pamoja na kuchukua kombe la looser ?
Standard zilishawekwa miaka minne Kwa kuchukua kombe la robo fainali[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Ok kama kwenu nyie iyo robo ndio standard, basi ibaki hivyo [emoji23][emoji23], sisi tutaweka standard tofauti na iyo na ndio itatumika kwa timu yoyote yenye kutafuta mafanikio
 
Hujui hata namna points zinavyopatikana..

Jiulize, pamoja na kuflop kwa Al Ahly kwa nini bado yeye ndiye namba moja kwa Afrika? Na itachukua miaka mingi yeye kushuka, kwa sababu alishajijengea points nyingi hapo awali. Unamuna Berkane? Hayupo katika mashindani yeyote ya Kimataifa msimu huu lakini still yupo top 10, kwa nini? Akili kichwani, siyo kule kulipo Mwiko..

Unashangaa Yanga kupanda kwa pupa? Sikiliza, mfano wote mkawa na alama moja. Msimu mwingine wewe ukawa na alama 4 maana yake utawapita wengi mliokuwa mnafanana.

Nakuambia hivi, hata mkishinda Ubingwa wa Kombe la Losers top 10 hamtaingia.
berkane bingwa mtetezi wa kombe la looser amefikaje hapo top ten?
kujitoa akili inahitaji moyo
 
Back
Top Bottom